NAIBU Spika wa Bunge, Daniel Sillo, ametoa wito kwa wananchi na wadau mbalimbali kushiriki katika kuchangia huduma za matibabu ya upandikizaji Uloto kwa Watoto…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuiimarisha Taasisi ya viwango Zanzibar ( ZBS ) ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia duniani katika kuhakikisha ubora…