RC KIDO: WATUMISHI WA UMMA TOENI HUDUMA ZENYE TIJA KWA WANANCHI
Na Silivia Amandius Bukoba. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Kanali Yahya Ramadhani Kido, amewataka watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba kutekeleza majukumu…
Na Silivia Amandius Bukoba. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Kanali Yahya Ramadhani Kido, amewataka watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba kutekeleza majukumu…
Wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wametembelea banda la Bohari Kuu ya Dawa (MSD) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya…
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Jiji la Arusha limeendelea kuandika historia kwa kuvunja rekodi ya usajili wa Vikundi vya Ununuzi wa Umma (PPRA) nchini, hatua…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mkurugenzi wa Idara ya Elimu Mbadala na Elimu ya Watu Wazima Zanzibar, Bi. Mashavu Ahmda Fakhi, ameipongeza Mamlaka…
📍Dar es Salaam Mjiolojia kutoka Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Njombe, Abbas Mruma, amesema Tanzania inaendelea kujijengea nafasi muhimu duniani kutokana…
Mawaziri wa Nishati kutoka nchi wanachama wa Soko la Pamoja la Nishati Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Power Pool – EAPP) wameazimia kuharakisha utekelezaji…
Na OWM–TAMISEMI, Lilongwe, Malawi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe,…
*Asilimia 10 ya mapato ya sekta ya madini kuelekezwa kwenye utafiti *MBT kuwanufaisha wachimbaji Mundarara Longido, Arusha Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa,…
Na Happy Lazaro, Arusha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inafikia lengo la kukusanya Sh trilioni 41.4 kutoka Tanzania Bara…
Timu ya Taifa ya Hispania imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Ubelgiji mabao 2-1 katika mchezo…
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linatoa taarifa kuhusiana na ajali iliyotokea mnamo tarehe 09 Julai, 2026 saa 1:45 usiku huko…
Na Happy Lazaro, Arusha . Vijana nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kukaa vijiweni na badala yake kujiunga katika vikundi, kuanzisha miradi yenye tija…
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ametembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Addis Ababa, Ethiopia, na kufanya mazungumzo na Mhe.…
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Nishati, Bw. Petro Lyatuu akizungumza katika Kongamano la Siku ya Nishati (Energy Day) lililofanyika wakati wa…
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiteta jambo na Bw. Ban Ki-moon, Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN)Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akimkabidhi Bw.…
Na Sixmund Begashe, Dodoma VIONGOZI wa Jumuiya za Hifadhi za Wanyamapori wamepongeza kazi kubwa inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais…
Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) leo tarehe 10 julai, 2026 amekutana na bodi ya wakurugenzi mamlaka ya hifadhi ya…
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na NMB imekabidhi kompyuta mpakato 10 zenye zaidi ya shilingi Milioni 18 kwa shule ya Sekondari Kwiro…
Serikali imesema, Sheria zinapaswa kutumika kama nyenzo ya maendeleo ya taifa kwakuwa ubora wa Sheria hupimwa kwa matokeo yake katika kuboresha maisha ya wananchi,…
Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya ETDCO, Mhandisi Richard Mwanja akizungumzia umuhimu wa Kongamano la Siku ya Nishati (Energy day) lililofanyika leo, Julai 10,…
NA DENIS MLOWE, IRINGA WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameipongeza BRAC Maendeleo Tanzania kwa kuendelea kuunga…
New York, Marekani Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza hatua zake za kuanza kutekeleza Mpango wa Nne wa Taifa wa Maendeleo wa…
Na. Veronica Mwafisi-Uyui Tarehe 10 Julai, 2026 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete…
Mawaziri wanaosimamia sekta za Uchukuzi, Mawasiliano na Hali ya Hewa kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameazimia kuongeza kasi ya utekelezaji…
Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, ametembelea banda la Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) katika Maonesho…
Mwenyekiti wa Tume ya Ushindani (FCC) akipata maelezo kutoka kwa Bi. Roberta Feruzi, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano – FCC wakati alipotembelea banda hilo…
Na Mwandishi Wetu Julai 25, 2026, dunia itaadhimisha miaka mitano tangu kuanzishwa kwa Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Vifo vya Kuzama Maji Duniani, ikiwa…
Na Jeremia Mwakyoma na Jeremiah Mbwambo Picha na Gladys Lukindo DODOMA – JULAI 10, 2026 Kliniki ya Wateja Maalumu, wa Kimataifa na uchunguzi wa…
Na. Jacob Kasiri – Arusha. Uongozi mpya ndani ya Shirika kongwe la uhifadhi nchini umechukua hatamu rasmi baada ya aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi –…
Ofisi ya Makamu wa Rais kupitia Mradi wa Urejeshaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bayoanuai Tanzania imewezesha urejeshaji wa hekta milioni 3.3 za…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MCHEZAJI wa Yanga SC na Timu ya Taifa ya Tanzania, Clement Mzize, ametangaza rasmi kufanyika kwa tamasha la hisani la…
*Mtambo maalumu wa ‘Geotech’ kuchunguza udongo na tafiti Dar es Salaam Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umeendelea kuimarisha usimamizi wa ubora…
Tanzania imepata heshima ya kutunukiwa Tuzo ya Kimataifa ya WSIS Prizes 2026 kutokana na mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758…
Na. Veronica Mwafisi-Sikonge Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake…
📍 Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, amekihakikishia ushirikiano Chuo cha United African Institute of Technology (UAIT) Cha Korea Kusini katika…