Dkt. Gwajima Awakumbuka Yatima, Awapa mkono wa Eid
Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Dorothy Gwajima akiwa katika picha ya Pamoja na watoto wa kituo cha matumaini kilichopo Miuji Jijini Dodoma.…
Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Dorothy Gwajima akiwa katika picha ya Pamoja na watoto wa kituo cha matumaini kilichopo Miuji Jijini Dodoma.…
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Taifa Bw. Erasto Sima akimkabidhi mashine ya photocopy Katibu wa Wazazi Mkoa wa Tanga Bw. Hassan Mdoe leo katika…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiwa ameongoza Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam na Katibu Tawala…
Kaimu Meneja wa Bandari ya Mwanza Bw. Geoffrey Lwesya akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Mwanza ambao wapo katika ziara ya kutembelea na…
Hekaheka za usajili Tanzania Bara zikiwa zikipamba moto hasa kutokana na kila timu ikihitaji kujihimarisha kikosi chake kwaajili ya msimu ujao, klabu ya Namungo…
Mchezaji anaekiipiga katika klabu ya Real Sociedad kwa mkopo akitokea Real Madrid Theo Hernandez na mpenzi wake wametembelea hifadhi ya mbuga za Wanyama ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makatibu Tawala wa Wilaya zote pamoja na Makatibu Tarafa wa…
Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limethibitisha Tanzania kuingiza na timu nne katika mashindano ya klabu barani kwa msimu wa 2019/2020. Taarifa…
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na Daktari wa timu ya Taifa Stars Emily Urasa wakati wa…
********************* Msaada tutani MEYA Mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni ameahidi kugharamia mafunzo kwa ajili ya walimu wa Madrassa zilizopo katika Wilaya ya Kinondoni kwa…
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Jonathan Shana, akiwaonyesha waandishi wa habari silaha aina ya AK 47 ambayo ilikutwa…
********************************* Na Ahmed Mahmoud Arusha JESHI la polisi mkoa wa Arusha linawashikilia watu kadhaa akiwemo Mwalimu wa shule ya Msingi kwa kukutwa na Bunduki…
************************************* Mwamvua Mwinyi,Kibaha JESHI la polisi mkoani Pwani,linawasaka watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambao wanadaiwa kupora pikipiki eneo la Kidimu kata ya Pangani…
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa hospitali wakimsikiliza mwenyekiti wa bodi, Prof. Majinge leo. Mkurugenzi wa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru akisisitiza jambo…
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, mhandisi Zephania Chaula (kushoto) akipeana mkono na viongozi wa vikundi vya wanawake, vijana na walemavu baada ya…
Dodoma, 04 Juni 2019 TANGAZO KWA UMMA TAARIFA KUHUSU UTHIBITISHAJI WA NYARAKA Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha…
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na Viongozi wa Umma mkoani humo, wakati akifungua mafunzo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Rais Sekretarieti…
*************************************************** CHANGAMOTO ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama iliyokuwa inawakabili wananchi wa vijiji vya Nandagala ‘B’ na Ingawali wilayani Ruangwa imekuwa…
***************************************** Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kuwashukuru wananchi wote kwa jinsi wanavyoendelea kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa na ufadhili unaowezesha kubaini, kuzuia na kupambana…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua maji baada ya kukabidhiwa kisima cha maji cha kijiji cha Nandagala ‘B’ kilichojengwa kwa ufadhili wa Ubalozi wa Uturuki…
Waziri wa Madini Doto Biteko wa Kulia katikati akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na ujumbe wa Kampuni ya Ngwena Tanzania Ltd “Ngwena” waliomtembelea…
**************************************** Halmashauri ya mji wa Njombe imesema inatarajia kuanza kukusanya zaidi mil 500 kila mwaka katika miradi mikubwa ya Soko lenye hadhi ya kimataifa…
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma wa Tigo David Umoh (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni ya SOKA…
SERIKALI imeitaka bodi mpya ya Kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umaskini (Jatu PLC), inafanya kazi kwa bidii na kuitendea vema dhamana waliyopewa. Hayo…
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom leadership Network Tanzania (KLNT), Mhe. Ibrahim…
Waziri wa Habari Utamaduni,Sanaaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Klabu ya Dar es Salaam Young Africans…
********************************************** Katika kuelekea sikukuu ya Eid El fitr Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga kikamilifu kuhakikisha wakazi wa Mkoa wa Mbeya, wageni…
MKURUGENZI wa Rasilimali za Maji kutoka Wizara ya Maji George Mvomera katikati akitazama kikundi cha utunzaji wa mazingira cha Uwamakizi wakati ametembelea vikundi vya…
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akijibu hoja za wabunge wakati wa kuhitimishwa kwa hoja za Mapato na Matumizi…
Waziri wa Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba akikagua mifuko mbadala inayotengenezwa na kiwanda cha Africa Paper bag kinachotengeneza mifuko hiyo leo katika zoezi…
MAMA aliyejifungua watoto mapacha wanne Radhia Solomon (24) mkazi wa Chemchemi Magomeni jijini Dar es Salaam na kutelekezwa na mmewe kwa madai ya kukwepa…
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amefungua mkutano wa wadau wa huduma za afya ya uzazi na mtoto kwa ajili ya kujadili…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya…
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari (hawapo Pichani) wanaopata Mafunzo ya Upelelezi katika Chuo cha Maafisa wa Polisi…