Home Biashara NBC YAZIDI KUBORESHA MTANDAO NA MAWAKALA WAKE

NBC YAZIDI KUBORESHA MTANDAO NA MAWAKALA WAKE

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, akizungumza na baadhi ya mawakala wa benki hiyo wakati wa Semina ya siku moja kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa huduma za benki kidigitali wa Benki ya NBC, Deogratius Mosha, akizungumza na baadhi ya mawakala wa benki hiyo wakati wa Semina ya siku moja kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Meneja Ukuzaji wa Biashara wa Kitengo cha biashara ndogondogo na za kati wa Benki ya Taifa ya Biashara, Jonathan Bitababaje, akizungumza na baadhi ya mawakala wa benki hiyo wakati wa Semina ya siku moja kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala  iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, akizungumza na baadhi ya mawakala wa benki hiyo wakati wa Semina ya siku moja kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala  iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Pamoja naye ni baadhi ya maofisa wa ngazi za juu wa benki hiyo.
Mkuu wa huduma za benki kidigitali wa Benki ya NBC, Deogratius Mosha (kushoto), akikabidhi cheti kwa mmoja wa mawakala wao Monica Kikoti baada ya kuhudhuria semina kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya Mawakala wa Benki ya NBC wakihudhuria semina iliyoandaliwa na benki hiyo juu ya utoaji wa huduma za kifedha kupitia NBC Wakala, jijini hivi karibuni
Mnadhimu Mkuu Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC, Joyce Mbago (kushoto), akikabidhi cheti cha wakala wa benki hiyo  Dianarose Buddybruno katika semina   kuhusu elimu ya utoaji wa huduma za kifedha kwa mawakala hao  iliyoandaliwa na NBC jijini Dar es Salaam hivi karibuni.