Top Stories
View all
WFT YAZINDUA MRADI WA KUWEZESHA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KITAIFA WA KUZUIA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO
Shirika lisilo la kiserikali la Women Fund Tanzania (WFT) linalofanya shughuli za utetezi wa haki za wanawake na ujenzi wa tapo ya wanawake Tanzania…
WAFANYAKAZI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR WAPEWA ELIMU YA UTUMISHI WA UMMA
Afisa Mchambuzi Kazi Ofis ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Maulid Shaib Amada akitoa mada ya upimaji utendaji kazi watumishi wa…
WIZARA YA MAMBO YA NJE YAWASILISHA BAJETI BUNGENI
Baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia uwasilishaji wa hotuba ya Bajeti…
WAZIRI LUGOLA AIPA MAJUKUMU BODI MPYA USIMAMIZI MIRADI YA MAGEREZA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Bodi mpya ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la…
CWT YATOA UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA JUU YAKE
RAIS wa chama cha walimu nchini (CWT) Bi.Leah Ulaya,akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dodoma kuhusu tuhuma za habari zilizochapishwa…
United States Disburses Grants Worth $750,000 to Create Jobs for Rural Youth
Ms. Abella Bateyunga (right) from the Tanzania Bora Initiative receives Advancing Youth grant for 209,057,674 TZ shillings. Ms. Bateyunga is accompanied, from left to…
KWANDIKWA AITAKA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA JENGO LA NEC DODOMA
NAIBU Waziri wa Wizara ya Ujenzi Elias Kwandikwa akielekea katika ukaguzi wa Majengo ya ofisi za Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC) inayojengwa Wakala wa…
Mageuzi ya Kisayansi Yazaa Matunda Sekta ya Madini, Mapato
Na Mwandishi Wetu Hatua za serikali kuhakikisha Watanzania wananufaika na rasilimali za nchi yao na kuongeza mapato zimeanza kuzaa matunda licha ya kupingwa vikali…
WANANCHI WATAKIWA KUTEMBELEA OFISI ZA TRA KUWASILISHA MAONI NA KERO ZA KIKODI
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ………………………………………………… Na. Peter Haule, WFM, Dodoma Serikali imetoa wito kwa wananchi kutembelea ofisi…
AKINA MAMA 191 HUFARIKI ZANZIBAR KUTOKANA NA UZAZI
Usia Nkoma- Mtaalamu wa Mawasiliano kutoka UNICEF akichangia mada katika semina ya Jiongeze Tuwavushe Salama iliyofanyika Zanzibar Farashuu Khamis Musa, kutoka ofisi ya Mufti…
Benki ya NBC na Asasi ya Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS) zaingia makubaliano kusaidia Kilimo Biashara nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (wa pili kushoto), akibadilishana hati za mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa miaka mitano na Mkurugenzi…
DKT. ABBASI: MAONO NA MTAZAMO WA RAIS MAGUFULI YAZIDI KUPAISHA MAKUSANYO YA MAPATO YA MADINI
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari ( hawapo pichani), kuhusu utekelezaji wa…
RAIS DKT MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA AFRIKA KUSINI, NAMIBIA NA ZIMBABWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe…
Benki ya CRDB yafuturisha wateja wake Dodoma, Spika Ndugai aimwagia sifa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, ameipongeza Benki ya CRDB kwakuwa mstari wa mbele katika kuunga mkono juhudi za…
SPIKA NDUGAI KATIKA PICHA NA WALIMU NA WANAFUNZI KUTOKA SHULE TATU MKOANI DODOMA WALIOTEMBELEA BUNGE KWA LENGO LA KUJIFUNZA
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Laikala iliyopo Wilayani Kogwa, Dodoma walipotembelea Bunge kwa lengo…
UBA Tanzania yasherekea wiki ya Bara la Afrika
Mkuu wa Kampuni ya Benki ya UBA Tanzania, Mussa Kitambi, akipokea hati ya kutambuliwa kutoka kwa Waziri Mkuu wa Kassim Majaliwa, baada ya benki…
Wasindikaji wa Wadogo wa chakula Mkoani Mara walalamikia upungufu wa vifungashio
Mwakilisi wa mkurugenzi wa Wakala wa Usalama wa Chakula TFDA Mwambole Bw. Lazaro akizungumza katika mkutano huo. Denis Nyakisinda mwakilishi wa Katibu Tawala mkoa…
DC AKATAA NYUMBA YA WALIMU YA MILION 52
********************************************** Na Ahmed Mahmoud Karatu Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Mahongo amegoma Kupokea Nyumba ya walimu ambayo inadaiwa kugharimu shilingi Milioni 52, zikiwa…
BEI YA MIFUKO MBADALA YA PLASTIKI KIKWAZO KWA WANUNUZI NA WAFANYABISHARA NJOMBE
NJOMBE Ikiwa siku nne zimesalia kuanza kutekelezwa kwa katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki nchini,wafanyabiashara wakubwa wa mifuko hiyo mjini Njombe wameiomba serikali…
MIMBA MASHULENI NA UTORO KIKWAZO CHA MAENDELEO YA ELIMU WILAYANI WANGING’ONBE MKOANI NJOMBE
NJOMBE Bado changamoto ya mimba mashuleni pamoja na utoro uliokithiri wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe umeendelea kuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya taaluma jambo ambalo…
NAIBU WAZIRI KANYASU-“SERIKALI HAINA MPANGO WA KUNYANG’ANYA ARDHII”
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sarakwa kuhusu umuhimu wa zoezi la mpango wa matumizi bora…
ZIARA YA CCM WILAYA YA KUSINI JIMBO LA PAJE
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kusini Unguja kimewataka Viongozi na Watendaji wa Chama wa Ngazi za Matawi hadi Majimbo katika Wilaya hiyo kufanya…
MIFUKO YA PLASTIKI KUTUMIKA KUTENGENEZA MABOMBA NA MADAWATI
Mwanasheria wa NEMC,Wakili Manchare Heche akiwasilisha mada katika Semina kwa waandishi wa habari juu ya katazo la mifuko ya plastiki hapo jana katika ukumbi…
NEC Yatangaza Nafasi za Ajira za Muda za Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga kura
Mwandishi wetu, NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi za kazi za muda kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura.…
KAMPUNI YA JATU KUFANYA MKUTANO MKUU WA WANAHISA WAKE JUMAMOSI,JUNI MOSI JIJINI DAR
MKUTANO mkuu wa Kampuni ya Umma ya Jenga Afya, Teketeza Umaskini (Jatu TLC) umepangwa kufanyika Jumamosi June Mosi, katika Ukumbi wa Mgulani jijini Dar…
SERIKALI KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAWEKEZAJI NCHINI
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akitoa neon la ufunguzi wakati wa mkutano wake na wawekezaji wa…
BENKI YA KCB YAWAFUTURISHA WATEJA WAKE
Ali Mufuruki Mgeni rasmi akizungumza katika futari iliyoandaliwa na benki ya KCB kwa wateja wake wa akaunti ya Halal pamoja na wafanyakazi wa benki…
CHELESEA YATWAA ‘NDOO’ YA EUROPA LEAGUE BAADA YA KUICHAPA 4-1 ARSENAL
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa Europa League kwa kuichapa 4-1 Arsenali Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza mwenzao, Olivier Giroud baada ya…
BEI YA PAMBA NI SH. 1,200 KWA KILO – WAZIRI MKUU
*Amwagiza Katibu Mkuu Kilimo atume timu ichunguze Bodi ya Pamba WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ana imani kuwa ununuzi wa zao la pamba…
BRELA WATUMIA MAONYESHA YA SABA YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI TANGA KUFANYA USAJILI WA PAPO KWA PAPO
Msajili Msaidizi kutoka kitengo cha Ubunifu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA) Suzana Senso akitoa elimu kwa wanafunzi wa shule…
MRADI WA MABORESHO YA USIMAIZI WA FEDHA ZA UMMA WASHIKA KASI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, akizungumza wakati wa kikao cha pamoja kati ya Serikali na Wadau wa Maendeleo…
Bodi ya Nyama Yawataka Wenye Mabucha Kuyaboresha Kabla ya September 30
Na Gladness Mushi Arusha Bodi ya nyama hapa nchini imewataka wamiliki wa mabucha, wauzaji wa nyama kuhakikisha kuwa wanaboresha na kuim arisha mabucha yao…
PSSSF YALIPA MALIMBIKIZO YA MAFAO ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 880 KWA WASTAAFU ELFU KUMI
NA K-VIS BLOG, DODOMA ZAIDI ya Shilingi bilioni 880 zimetumika kulipa malimbikizo ya mafao ya wastaafu takriban elfu kumi (10000), wa Mfuko…