MBUNGE AZZA HILAL ATEMBELEA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA SHINYANGA
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) ametembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Shinyanga inayojengwa katika…
Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga,Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) ametembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Shinyanga inayojengwa katika…
MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kilele cha Wiki ya Mazingira Duniani ambayo wilayani imefanyika…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii .Constantine Kanyasu kushoto akimsikiliza kwa umakini Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)…
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwezeshaji wa AZAKI,Bw. Francis Kiwanga,akitoa taarifa kwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa wakati wa mkutano na Wakurugenzi wa Asasi pamoja…
**************************************** Kilio cha muda mrefu cha walimu wa shule ya msingi Vijibweni Wilaya ya Kigamboni kufanya kazi chini ya Miti,kwenye vikorido,kwenye madawati na kujisaidia…
Kaimu Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Geofrey Lwesya akiwaelezea waandishi wa habari utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa jengo la abiria na ofisi…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Al-Hikma Fundation ukiongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi…
Madaktari wakiendelea kuwashauri wananchi kuhusiana na afya zao katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza hivi karibuni. Wananchi wakiendelea kupewa utaratibu kuhusiana na…
Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amechangia shilingi 5,895,000/= kwa ajili ya upauaji wa jengo la wodi ya akina…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akizungumzia mikakati ambayo Serikali imeipanga ya namna ya kushirikiana na Wadau wa sekta ya utalii…
Ofisa Misitu Mkuu wa Idara ya Misitu na Nyuki Wizara ya Maliasili na Utalii, Seleboni John akielezea mikakati ya Wizara hiyo katika kuendeleza misitu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wakisimama wimbo wa…
Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) ametoa msaada wa Kompyuta nne zenye thamani ya shilingi milioni 8 katika…
NA MWAMVUA MWINYI,PWANI UGONJWA wa homa ya dengue ,umeingia mkoani Pwani ambapo hadi sasa wagonjwa 42 wameripotiwa kuugua hivyo kusababisha mkoa huo kuwa miongoni…
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akiangalia ramani ya upanuzi wa Kituo cha Afya Bwisya kilichopo katika Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe. Na George…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kitabu pamoja na Flash Disk ambazo zina…
Mwakilishi wa Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa bandari ya Nyamirembe Chato , Injinia Anderson Mbogowe akitoa maelezo kwa Injinia wa Mamlaka ya Usimamizi…
Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya MultiChoice Tanzania Balozi Ami Mpungwe {Kulia} sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jacqueline Woiso , akizungumza…
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Clement Mashamba, akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari( hawapo pichani) kabla ya kukabidhiwa Mfumo wa Usimamazi wa Mashauri uliotengenezwa…
NJOMBE Majambazi wawili wenye silaha wameuwawa na mmoja kufanikiwa kutoroka baada ya kurushiana risasi na askari usiku wa kuamkia jana wakati wakijaribu kufanya uvamizi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe…
Adelina JohnBosco, MAELEZO Dodoma Rais John Pombe Magufuli amekutana na wawakilishi wa wafanyabiashara nchini leo Ikulu Jijini Dar es salaam ili kujadili changamoto zinazowakabili…
Kaimu Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Geofrey Lwesya akiwaelezea waandishi wa habari utekelezaji wa mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Lushamba wakati walipotembelea…
Meneja Mradi wa TTCS, Charles Leonard akitoa mada kuhusu Mkaa endelevu kwa maofisa mbalimbali kutoka wilaya 19 nchini. Meneja Mradi was Kuleta Mageuzi katika…
Na Mwandishi Wetu. BEKI wa Simba SC, Shomari Kapombe na viungo Jonas Mkude, wote wa Simba na Ibrahimu Ajibu wa Yanga wameenguliwa kwenye kikosi…
************************************ NA MWANDISHI WETU TANZANIA ni nchi ya tatu kwa Afrika ikiongozwa na Nigeria kuwa na idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa na ugonjwa huo…
************************************** NJOMBE Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amewaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wanaopiwa na ushoroba wa hifadhi za taifa Tanzania…
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mwandege Wilayani Mkuranga wakibeba madawati na viti mara baada ya kukabidhiwa na viongozi wawakilishi wa Benki…
Mtokea benchi kipindi cha pili, Quincy Promes akishangilia baada ya kuifungia Uholanzi bao la tatu dakika ya 114 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya…
***************************** MEYA Mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda amesheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr kwa kujumuika na watoto yatima wanaoelelea katika kituo cha Maunga,…
********************************* This course based on the World Bank Group’s flagship report The Changing Nature of Work will inform governments, policy makers and business leader…