WAZIRI PROF. SHEMDOE AWASILISHA RANDAMA YA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU
Leo Machi 31, 2026, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewasilisha…
Leo Machi 31, 2026, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewasilisha…
Na Maelezo Zanzibar 31.03.2026 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dkt. Riziki Pembe Juma amesema Vituo vya Utangazaji vina nafasi kubwa katika…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange (wa tatu kulia) akiwa na viongozi mbalimbali katika Kijiji cha…
Watu sita wamepoteza maisha na wengine 55 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Greenline kupinduka katika Kijiji cha Mkiwa, Wilaya ya Ikungi mkoani…
Watoa Msaada kwa Makundi Maalum 📍Hombolo, Dodoma. Watumishi wa Wizara ya Madini leo Machi 31, 2026, wamepeleka tabasamu kwa jamii yenye uhitaji maalumu…
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Isimani,…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kushoto), akiagana na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Bekir Gezer, baada ya kukutana…
Na. Meleka Kulwa-Fullshangwe Blog, Dodoma Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mhe. Godfrey Kasekenya, amesisitiza umuhimu wa Watumishi kufuatilia afya zao ya akili,…
Arusha Leo Machi 31, 2026, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo ametembelea maduka (vituo vya kutangazia bidhaa za Vito na Usonara zinazozalishwa…
Serikali imeongeza msisitizo wa kuimarisha juhudi za kudhibiti usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (UVIDA), kwa kuhimiza wizara na taasisi kuongeza kasi…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Katika mwendelezo wa kuimarisha usalama wa mabwawa ya maji na yale ya tope sumu (TSF) migodini, Serikali…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Ngwaru Jumanne Maghembe (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni…
Mkoani Singida, eneo lenye upepo na zao la alizeti, anaishi kijana mnyenyekevu anayeitwa Rashid. Kwa miaka mingi, Rashid alikuwa akifanya kazi ngumu ya kuvuna…
Kulikuwa na tukio la kushangaza sana katika eneo la Sinza jijini Dar es Salaam baada ya dereva mmoja wa bodaboda kudaiwa kuiba mkoba wa…
Dar es Salaam Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara zaidi ya Kilomita 56 kwa kiwango…
Bw. Rahim Bhanj, Mkurugenzi wa Bhanj Transport Ltd na Mlezi pamoja na Mshauri wa Chama cha Wauzaji na Wasafirishaji wa Makaa ya Mawe nchini,…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba leo Machi 31, 2026 amewasili Iringa Mjini akiwa njiani kwenda Idodi kumuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mazishi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa kusimamia kwa…
Na. Fullshangwe Blog Wananchi wamekumbushwa umuhimu wa kujiunga na Bima ya Afya kwa wote ili kujiweka tayari pindi wanapougua wao au ndugu zao ambao…
*Lengo ni kusafirisha tani milioni 2.4 kwa mwaka *Lengo ni kupunguza muda wa usafarisha madini kutoka siku14 hadi siku 5 Kitwe – Zambia Serikali…
* Ni Kampuni ya Liaoning Fangda Group yenye Mtandao Mpana wa Uwekezaji Duniani * Ni Wawekezaji wa Kimataifa Wenye Uzoefu katika Chuma, Madini na…
Na WMJJWM Morogoro Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Amon Mpanju, amepongeza kazi inayofanywa na Dawati la…
Mkutano wa 13 wa Pamoja wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Ushirikiano katika Ulinzi, Amani na Usalama na Baraza la Kisekta la Uratibu…
……. Wananchi wamlilia aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge Uratibu na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Isimani Marehemu…
📍Mwanza Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba, amewataka watendaji wa Tume ya Madini hususan Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuimarisha usimamizi…
*Dkt. Kiruswa ashuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Kinywe Mirerani* *Dkt. Mwasse: STAMICO kuendelea kuvutia mitaji na uwekezaji katika sekta ya madini Nchini* *Mbibo: Wizara…
Mwamvua Mwinyi-Kibaha Machi 30,2026 Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imenunua magari saba yenye thamani ya Sh bilioni 1.356 kupitia bajeti ya mwaka wa fedha…
Waswahili husema “Dunia ni jumba la maajabu ” Ngorongoro haiishiwi maajabu , Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)…
…….. Katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa misaada ya vifaa vya ujenzi wa jiko la kisasa katika…
Na.Sophia Kingimali. Wakati dunia ikiendelea kukabiliwa na ongezeko la taka, Tanzania imeanza kuchukua hatua madhubuti kubadili changamoto hiyo kuwa fursa ya kiuchumi kupitia mkakati…
Na.Sophia Kingimali. Wakati Tanzania ikiweka malengo makubwa ya kufikia uzalishaji wa takribani megawati 70,000 za umeme ifikapo mwaka 2050, wadau wa maendeleo wameanza kuangazia…