SERA YA MAMBO YA NJE KUWA DIRA KWA WAWAKILISHI WA TANZANIA IPU
Wajumbe wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoiwakilisha nchi kwenye Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamesisitizwa kuhakikisha kuwa uwakilishi wao unakwenda sambamba…
Wajumbe wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoiwakilisha nchi kwenye Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamesisitizwa kuhakikisha kuwa uwakilishi wao unakwenda sambamba…
OWM-TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari Seif,…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akichangia mjadala kufuatia taarifa ya Kamisheni ya Umoja wa Mataifa inayosimamia Uchumi Afrika (UNECA), iliyochambua…
Na Elimu ya Afya kwa Umma. Naibu Meneja wa Mpango wa Taifa wa Chanjo kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Shemsa Said, amesema kuwa Mafunzo…
Kampuni ya Taifa Gas imetangaza kuwa haitapandisha bei ya gesi ya majumbani (LPG) licha ya ongezeko la takribani asilimia 43 ya bei ya bidhaa…
Mheshimiwa Rahma Riyadh Kisuo (Mb) Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano akijibu swali wakati wa Mkutano wa Tatu, Kikao cha…
….. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma limetoa tahadhari kwa wananchi kuchukua hatua za kujikinga na majanga katika msimu huu wa sikukuu…
Wataalamu kutoka Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) wamehitimisha mafunzo maalum ya ulinzi na usalama dhidi ya mionzi kwa wafanyakazi wa Maweni Limestone…
Mwanamke mmoja kutoka mkoa wa Mwanza ameibua gumzo mitandaoni baada ya kusimulia jinsi maisha yake yalivyobadilika ghafla kufuatia kutumia dawa ya asili aliyopatiwa na…
Mfanyabiashara mmoja kutoka Dar es Salaam ameibua mjadala baada ya kufichua kile alichodai kuwa siri ya mafanikio yake makubwa katika biashara. Akiwa awali akipambana…
Mkutano wa 13 wa Pamoja wa Mabaraza ya Kisekta ya Mawaziri wa Ushirikiano katika Ulinzi, Amani na Usalama na Baraza la Kisekta la Uratibu…
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 2, 2026 amesafiri kwa Treni ya reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dodoma kuelekea Dar es Salaa kwa…
📍Ulega aongeza zawadi ubunifu wa foleni Mamia ya wanafunzi wa taaluma za uhandisi wamejitokeza kushindana katika andiko la ubunifu wa kuondoa kero za…
Na John Walter -Babati Maafisa wa Jeshi la Polisi mjini Babati mkoani Manyara wamepatiwa elimu kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia kupitia majiko…
Mkurugenzi Msaidizi wa Afya Moja kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dkt. Salum Manyatta, amesema kuwa Mpango Mkakati…
Askofu Mkuu wa Makanisa ya C.E.C.T na Mwenyekiti mweza Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoani Mwanza Charles Sekelwa. ……… Na Hellen Mtereko,…
Meneja wa Kampuni ya Emichem Enterprises, Boniface Paulo. ……….. Na Hellen Mtereko, Mwanza Kampuni ya Emichem Enterprises iliyoko Mabatini Jijini Mwanza inatarajia kutoa mafunzo…
Na. OWM-KAM, Dodoma Serikali inaratibu Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi, kwa lengo la kukuza ujuzi wa nguvukazi ya taifa ili kumudu ushindani katika…
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Watengeneza maudhui nchini wamehamasishwa kutumia ubunifu wao kujipatia kipato kupitia fursa zitokanazo na nishati safi ya kupikia, kwa kuelimisha jamii…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, akisaini Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 55.1 kwa…
Dar es Salaam, Tanzania –Aprili 1, 2026: Kadiri Watanzania wanavyozidi kuhitaji njia za malipo kidijitali za haraka, salama na rahisi, Benki ya Exim Tanzania…
NA DENIS MLOWE, IRINGA JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limeendelea na operesheni za kuzuia uhalifu kwa lengo la kuhakikisha usalama wa raia na…
Afisa Afya Maingira,Kitengo cha Udhibiti Taka na Usafi wa Mazingira Temeke Joseph Mpelumbe akizungumza katika warsha maalum ya Vijana iliyoratibiwa na Taasisi ya Mazingira…
Timu ya Vodacom Tanzania ikiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukamilisha mabadiliko ya huduma ya M-Pesa kwenda mfumo mpya wa kisasa wa fintech…
Na Maelezo Zanzibar 02.04.2026 Waziri wa Kazi na Uwekezaji Mhe. Shariff Ali Shariff amesema waasisi wamefanya mapinduzi makubwa katika nchi ya kuwaletea wananchi maendeleo,…
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Aprili 2, 2026 Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimesema kinatambua mchango wa Serikali katika kuimarisha maendeleo ya mkoa huo,…
NA DENIS MLOWE IRINGA MWANACHAMA hai wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bruce Nyamwangi, amezungumza na waandishi wa habari mkoani Iringa kueleza ukweli…
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea na majukumu yake ya msingi kwa mujibu wa sheria na kutokana na ushirikiano wa wananchi na wadau…
Wateja walivyopotea bila sababu Ali Salim, mfanyabiashara wa bidhaa za urembo mjini Malindi, anasema kwa muda mrefu alikumbana na changamoto isiyoeleweka ambapo wateja wake…
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za mlaji Duniani yaliyofanyika kwenye hoteli ya Johari Rutana…
Na Saidi Saidi WMJJWM – Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe.Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii na…
DODOMA, 2 Aprili 2026 Kuelekea sikukuu ya Pasaka, Meneja wa TRA Mkoa wa Dodoma, Bw. Pendolake Elinisafi, ameongoza ziara ya kutembelea kaya za watu…
Naitwa Philipo, mkazi wa mkoa wa Rukwa, maeneo ya Sumbawanga. Mimi ni mwanaume ambaye nilikuwa na kila aina ya mali; mashamba makubwa ya mahindi…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 2, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba…