Naitwa Philipo, mkazi wa mkoa wa Rukwa, maeneo ya Sumbawanga. Mimi ni mwanaume ambaye nilikuwa na kila aina ya mali; mashamba makubwa ya mahindi na alizeti, nyumba nzuri, na biashara ya kutosha ya usafirishaji, lakini sikuwa na mke wa kuishi naye ndani ya nyumba yangu kwa amani.
Nilikuwa nimefikisha miaka 45 nikiwa bado nipo peke yangu kama mtu aliyelaaniwa na ukoo tangu kuzaliwa kwangu. Watu wa Sumbawanga walikuwa wakinitania na kuniita “bachelor sugu” kwa sababu kila mwanamke niliyempata, alikuwa akiondoka baada ya muda mfupi akidai kuwa anahisi hofu punde tu anapoingia nyumbani kwangu. Nilihisi nina gundu lililonitenga na furaha…… SOMA ZAIDI
