BAJETI ZA MASHIRIKA YA UMMA KUCHAMBULIWA KUAKISI DIRA 2050
Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imeanza zoezi la uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na…
Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imeanza zoezi la uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na…
Tume ya Ushindani (FCC) imesema itaendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu haki za mlaji huku maadhimisho ya Siku ya Mlaji Duniani yakiendelea kufanyika, ili…
Imelda Edward – Meneja wa Vifaa – Mauzo na Usambazaji – Yas Tanzania ………. 01 Aprili 2026 – Dar es Salaam. Katika jitihada za…
*Yapitisha maazimio 15 kuendeleza matumizi ya AI na kuhamasisha ubunifu_ Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kupitia Kamisheni ya Sayansi na Teknolojia ya Jumuiya hiyo…
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 13 wa Pamoja wa…
Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) inatarajia kutekeleza Mradi wa Matumizi Bora ya Nishati katika Jengo…
Meneja wa Bima kanda ya kaskazini (TIRA) Dokta Emmanuel Lupilya akizungumza na mawakala wa bima jijini Arusha . Happy Lazaro,Arusha . MAWAKALA WA BIMA…
Na Saidi Saidi WMJJWM – Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe.Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii na…
Na. Halmashauri ya Jiji la Dodoma, DODOMA Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeendelea kuonesha dhamira ya dhati ya kuboresha mazingira na afya za wakazi…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu…
Na Sixmund J. Begashe, Dodoma Jitihada kubwa zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi mahiri wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu…
* Ni Taasisi inayojihusisha na Utunzanji na Maendeleo ya Mazingira . Mtumba, Dodoma Taasisi ya Wataalamu wa Mazingira Tanzania (TEEA) imeomba kushirikiana kwa karibu…
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana iliyopo mkoani Mwanza, Mhe. Amina Makilagi amewataka Watengeneza Maudhui Mtandaoni kuzingatia maadili, uzalendo pamoja na kulinda taswira ya Tanzania…
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameziagiza Wizara za Kisekta, Taasisi na Mamlaka za Serika za Mitaa zihakikishe zinalipa fidia kwa wananchi wanaopisha maeneo kwa…
Katibu Mkuu-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango Dkt Tausi M. Kida ametoa wito kwa watendaji wa Tume hiyo kufanya kazi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Wagombea wa Nafasi ya Urais na Wagombea Wenza…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amewasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya…
Na MWANDISHI WETU KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid…
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kumuua dereva wa bodaboda, Omary Bakari (21), mkazi wa Michese jijini humo.…
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo April 1, 2026 ametia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa Algeria, Jenerali…
JUMLA ya sh. trilioni 1.77 zinahitajika kwa ajili ya ujenzi wa madarasa, maabara, ajira mpya za walimu, ruzuku ya mitihani, ya vitabu na uendeshaji…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imeweka kipaumbele katika kuimarisha na kuhifadhi maeneo ya…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akizindua zoezi la upandaji wa miti kuelekea kumbukizi ya miaka…
Na Maelezo Zanzibar 01.04.2026 Waziri wa Maji, Nishati na Madini Mhe Nadir Abdullatif Al-wardy amesema viongozi wanaendelea kujifunza nidhamu, uadilifu na kuwatumikia wananchi kwa…
Mafundi wa kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC) wakiendelea na kazi ya ujenzi wa tenki la maji katika kijiji cha Mahilo Manispaa ya…
Naitwa Benson, mkazi wa zamani wa jijini Arusha. Kwa miaka mitano baada ya kuhitimu chuo, nilijikita kwenye kutoa huduma za mafunzo ya ziada (tuition)…
Jina langu ni Fatma, mkazi wa mkoa wa Pwani, Kibaha. Kwa miaka kumi, maisha yangu ya mahusiano yalikuwa ni majanga matupu. Kila mwanaume niliyempenda…
Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi SACP Shadrack Masija wakati akizungumza na mwananchi wa Mwimbi ……………. Na Neema Mtuka,…
Ubora na ufanisi wa huduma za chanjo unategemea moja kwa moja utunzaji sahihi wa chanjo na usimamizi madhubuti wa mahitaji yake. Hayo yamesemwa tarehe…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2026/2027 ya Ofisi ya…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe.Dkt.Riziki Shemdoe pamoja na viongozi mbalimbali wakiwasili bungeni kwa ajili ya kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya…
Kwa mara ya kwanza katika historia, Bara la Afrika litakuwa na uwakilishi idadi ya Timu nyingi katika fainali za FIFA World Cup 2026, baada…
Na Silivia Amandius Kagera. Mhandisi Tawakal Rwahila, Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kagera, amesema kuwa mradi wa upanuzi wa kituo…