WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 2, 2026 amesafiri kwa Treni ya reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dodoma kuelekea Dar es Salaa kwa majukumu ya kikazi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ameongozana na Mkewe Mama Neema Mwigulu Nchemba.