Top Stories
View all
HAKUNA UHABA WA MAFUTA NCHINI, BEI ZATARAJIWA KUPANDA
Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna uhaba wa mafuta nchini, ikieleza kuwa akiba iliyopo pamoja na inayoendelea kuwasili inatosheleza mahitaji kwa kipindi cha miezi miwili…
RC IRINGA: MAANDALIZI YA MAZISHI YA MAREHEMU WILLIAM LUKUVI YAFIKIA HATUA NZURI
NA DENIS MLOWE IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema maandalizi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani na Waziri…
TANZANIA BREWERIERS PLC YAENDELEZA MAFANIKIO KAPITIA MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON 2026
Moshi ilichangamka kwa mara nyingine tena huku maelfu ya wakimbiaji, mashabiki, na watazamaji wakikusanyika kwa toleo la mwaka 2026 la Kilimanjaro Marathon. Kilichoanza zaidi…
TANZANIA YANG’ARA KIMATAIFA KWA USIMAMIZI BORA WA DENI LA SERIKALI
Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Wizara ya Fedha, Bw. Omary Khama (Katikati) akiwa ameshika tuzo mbili ambazo Tanzania imepata kwa…
TAKUKURU YATOA MSAADA HOSPITALI YA RUFAA TEMEKE, KUSAIDIA CHANGAMOTO ZA WATOTO NJITI
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Crispin Chalamila amesema taasisi hiyo itaendelea kutekeleza wajibu wake wa kijamii sambamba na mapambano…
VETA WAKUMBUSHWA KUTIMIZA MAJUKUMU YAO KWA KUZINGATIA MIONGOZO YA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA
Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wameshiriki katika semina ya Maadili ya Utumishi wa…
RAIS SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KWA LUKUVI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee…
RAIS SAMIA MSIBANI KWA LUKUVI KARIMJEE.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili tayari kuwaongoza waombolezaji katika kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi…
NAIBU WAZIRI WA NISHATI AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA TANESCO MKOA WA SHINYANGA
*Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi *Awasihi wananchi kutumia nishati safi umeme kupikia Na Mwandishi Wetu, Kahama Naibu…
VIJANA 521 WAONDOKA KWA AJIRA NJE YA NCHI, 45 WAENDA ULAYA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu Katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanufaika wa…
TANZANIA NA ISRAEL ZAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA ZA KILIMO NA AFYA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema Israel imekuwa mshirika muhimu katika sekta mbalimbali nchini, ikiwemo kilimo, afya, ulinzi na usalama, hali inayochangia…
HALI YA KUONEKANA KITUKO ILINIUMIZA SANA ILA NIMESHINDA
Maisha ya mtaani yana tabia ya kukuponda mpaka unajiona huna thamani yoyote mbele ya jamii. Naitwa Hamisi, kijana ambaye nilitumia miaka saba ya ujana…
AIBU YA KUZEEKEA UKUBWANI BILA MUME ILIVYOISHA NDANI YA WIKI MBILI TU ZA MAAJABU
Jina langu ni Grace, natokea mkoani Iringa. Kwa mwanamke wa Kiafrika, kufikisha miaka 37 bila kuolewa ni mzigo mzito wa kisaikolojia. Mimi nilikuwa nimeshaanza…
WAKALA WA VIPIMO WADHAMIRIA KUTOKOMEZA LUMBESA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akifungua kikao cha 37 cha Baraza la Wafanyakazi wa Wakala hiyo kilichofanyika Machi 27,…
PROF. SHEMDOE AWAASA WALIMU 150 KUZINGATIA MAFUNZO NCHINI INDIA ILI KUWA MAHIRI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewataka walimu 150 wa Amali za Kihandisi wanaokwenda India kuongeza umahiri…
ITALIA YAADHIMISHA SIKU YA UBUNIFU DUNIANI 2026 KWA MAONESHO YA “GLASS BRIDGE – MURANO MEETS SHANGA” DAR ES SALAAM
Na Mwandishi Wetu Ubalozi wa Italia nchini Tanzania kwa kushirikiana na Wakala wa Biashara wa Italia pamoja na Karimjee Group, umetangaza kuadhimisha Siku ya…
SEKONDARI IYUMBU YANUFAIKA NA MIRADI YA MAABARA, MADARASA NA JENGO LA UTAWALA
Na. Dennis Gondwe , Dodoma Jiji , IYUMBU SHULE ya Sekondari Iyumbu ilipokea shilingi 158,000,000 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa maabara tatu,…
TAKUKURU YATOA MASHINE ZA KUHUDUMIA WATOTO NJITI HOSPITALI YA AMANA
Na Mwandishi Wetu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetoa msaada wa mashine mbili za kisasa kwa ajili ya kutoa joto kwa…
DKT. JINGU: TUNAHITAJI MATOKEO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA PAMOJA
Na WMJJWM – Dar Es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amasisizitiza kasi…
SILLO AKABIDHI PHOTOCOPY MASHINE AYATSEA SEKONDARI.
Na John Walter -Babati Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Spika, Daniel Sillo, ameendelea kuonesha dhamira yake ya kuboresha sekta ya elimu…
TANZANIA YANG’ARA KIMATAIFA KWA USIMAMIZI BORA WA DENI LA SERIKALI
Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Deni la Serikali, Wizara ya Fedha, Bw. Omary Khama (Katikati) akiwa ameshika tuzo mbili ambazo Tanzania imepata kwa…
HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATENGA BAJETI YA ZAIDI YA BILIONI 7 KUBORESHA BARABARA
MSTAHIKI Meya wa Jiji la Arusha, Maxmilian Iranghe akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo. ……… Na Happy Lazaro, Arusha MSTAHIKI Meya wa…
HADI JANA WATOTO 1,309,452 WALIKUWA WAMESHAPATA CHANJO YA POLIO MWANZA
……… Na Hellen Mtereko, Mwanza Zoezi la utoaji wa chanjo ya Polio katika Mkoa wa Mwanza limefanikiwa kwa kiwango kikubwa ambapo hadi jana watoto…
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MFALME MSWATI III
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akifanya mazungumzo na Mfalme wa Eswatini, Mswati III kando ya…
DKT. ANETH KOMBA AFUNGA KIKAO CHA KUANDAA ‘KALIMANI APP’ KWA WANAFUNZI VIZIWI
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt Aneth Komba leo tarehe 27/3/2026 amefunga rasmi kikao kazi cha siku tatu cha kuandaa maudhui…
KIHONGOSI APONGEZA UJENZI WA DARAJA LA BILIONI 12.5 KAGERA
Na Silivia Amandius Muleba. Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na MNEC Taifa, Ndg. Kenani Kihongosi, ameipongeza…
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 kwa kuwa muda wa…
WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUMUOMBEA LUKUVI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu,…
MKUU WA MKOA KHERI JAMES ATOA RATIBA KAMILI YA MAZISHI YA MAREHEMU WILLIAM LUKUVI MKOANI IRINGA
NA DENIS MLOWE IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametoa taarifa rasmi kwa wanahabari kuhusu maandalizi na ratiba ya mazishi Aliyekuwa Waziri wa…
WAZIRI MKUU: LUKUVI ALIKUWA MSHAURI NA NGUZO MUHIMU SERIKALINI
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi…
MBINU YANGU YA KUWAPA WATU KAHAWA YA BURE ASUBUHI ILI WANUNUE BIDHAA DAKANI ILINIINGIZA KWENYE HASARA
Jina langu ni Joseph, mkazi wa mkoa wa Katavi. Nilikuwa mfanyabiashara wa bidhaa za ujenzi na mabomba. Niliamua kuanzisha utaratibu wa kuwapa kahawa ya…
WATUMISHI WIZARA YA ARDHI WAJENGEWA UELEWA KUHUSU LISHE NA AFYA MAHALA PA KAZI
Bi. Juliana Ntukey kutoka Ofisi ya Rais – Utumishi akitoa mafunzo kuhusu muongozo wa kudhibiti VVU/Ukimwi na magonjwa sugu zyasiyoambukizwa kwa watumishi wa Wizara…
TANZANIA NA SHIRIKA LA IFC KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA BINAFSI NA UWEKEZAJI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC) zimethibitisha azma ya kuendeleza ushirikiano katika kukuza sekta binafsi, uwekezaji…