Kulikuwa na tukio la kushangaza sana katika eneo la Sinza jijini Dar es Salaam baada ya dereva mmoja wa bodaboda kudaiwa kuiba mkoba wa mwanamke na baadaye kujikuta akizunguka mtaa mzima bila mwelekeo hadi akajisalimisha mwenyewe.
Kwa mujibu wa mashuhuda, dereva huyo alimchukua abiria wa kawaida na kumfikisha eneo alilotaka kushuka. Hata hivyo, wakati wa kushuka, aligundua mkoba ulikuwa umeachwa kwenye pikipiki. Badala ya kuurudisha, aliamua kuondoka nao kwa kasi…… SOMA ZAIDI
