Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

HADITHI: NYUKI WAKAVAMIA MALI ILIYODHULUMIWA

Jina langu ni Abedi, natokea Mtwara, Tanzania, nikiwa mwaka wa tatu chuoni IFM, Dar es Salaam nilimpokea rafiki yangu ambaye alitoka kijijini kwa ajili ya kujiunga mwaka wa kwanza hapo hapo chuoni. Kwa kweli nilikua nimejipanga vizuri, nilikua nikiishi kama muajiriwa kwa vitu nilivyokua navyo pale ghetto, kwa kifupi mimi na rafiki yangu tuliishi vizuri sana mwaka huo. Baada ya

John Bukuku By John Bukuku

DC SAME AAGIZA (TRA) WILAYANI HUMO KUTUMIA UBUNIFU WA KUDHIBITI MIANYA YA UKWEPAJI KODI

Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Mh. Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi kwa baadhi ya wafanyabiashara wasiowaadilifu. Mkuu huyo wa Wilaya amebainisha hayo katika kikao cha Kamati ya Ushauri wa Kodi cha Wilaya na kusisitiza kuwa mfanyabiashara yeyote atakaye bainika

John Bukuku By John Bukuku

WAWILI WAFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA WAKIWEMO ASKARI WAWILI WA ZIMAMOTO -Rpc Lutumo

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani. WATU wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa ,katika ajali iliyohusisha magari matatu likiweno bus kampuni la abiria New Force,Sauli na lori la mafuta kuteketea kwa moto alfajir ya Machi 28 eneo la Ruvu, Mlandizi ,Mkoani Pwani. Kati ya watano waliojeruhiwa ni pamoja na askari wawili wa Jeshi la zima moto ambao wamejeruhiwa wakati wakiwa watatekeleza

John Bukuku By John Bukuku

MISRI WAVUTIWA NA MIRADI YA UBIA (PPP) ILIYOPO TANROADS

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta (wanne kulia), akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Sherif Abdelhamid mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyohusisha mashirikiano katika sekta ya miundombinu ya barabara na madaraja yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Sherif Abdelhamid (kulia) akisisitiza jambo kwenye

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA AONGOZA MKUTANO WA WB KANDA YA AFRIKADKT. NCHEMBA AONGOZA MKUTANO WA WB KANDA YA AFRIKA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiongoza mkutano wa Benki ya Dunia wa Jukwaa la Tatu la Kanda ya Afrika Kundi la Kwanza kwa nchi za Kipato cha Kati lililolenga kujadili namna mashirika ya fedha ya kimataifa yanavyoweza kuongeza fedha kuzisaidia nchi za kipato cha kati kufikia maendeleo endelevu ya kiuchumi na kijamii. Mkutao huo umefanyika kwa njia

John Bukuku By John Bukuku

MISA TAN, TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO

Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina (kushoto) akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi Mtendaji wa MISA TAN Bi. Elizabeth Riziki baada ya kutia saini mkataba wa ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili. Mwenyekiti wa bodi na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe. Amina Talib Ali akipongezana na Mkurugenzi Mtendaji

Alex Sonna By Alex Sonna

DKT. BITEKO AAGIZA KUVUNJWA BODI YA ETDCO

*Menejimenti ETDCO nayo isukwe upya  *Ni kufuatia Wizi, Utendaji mbovu na kusuasua kwa miradi  *Awataja baadhi ya Watumishi wanaohusika na vitendo hivyo  *Waliobainika kufanya wizi hatua za kisheria zachukuliwa dhidi yao  *Atoa onyo kwa wanaotumia vifaa vya TANESCO kufanya biashara ya vyuma chakavu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuvunjwa kwa Bodi ya Kampuni

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

DC SAME AAGIZA (TRA) WILAYANI HUMO KUTUMIA UBUNIFU WA KUDHIBITI MIANYA YA UKWEPAJI KODI

Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Mh. Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti mianya ya

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI ZA CAG NA TAKUKURU, AAHIDI KUFANYIA KAZI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 kutoka kwa Bw. Charles

John Bukuku By John Bukuku