Top Stories
View all
MAHUNDI AKAGUA MIRADI MLALE, ASISITIZA UZALENDO NA UTUNZAJI MIUNDOMBINU
Na Jackline Minja, WMJJWM RUVUMA Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Maryprisca Mahundi, ametoa rai ya kuimarishwa kwa uzalendo…
SOKO LA KISASA BUKOBA KUGHARIMU BILIONI 18, KIHONGOSI ATOA MAELEKEZO KWA MKANDARASI
Β Silivia AmandiusΒ Bukoba. Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Kenani Kihongosi, amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi…
SERIKALI YAHIMIZA MATUMIZI YA VYAKULA VYA ASILI KUIMARISHA AFYA NA KUZUIA MAGONJWA
Na Elimu ya Afya kwa Umma Serikali kupitia Wizara ya Afya imewahimiza Watanzania kurejea katika matumizi ya vyakula vya asili kama sehemu muhimu ya…
KAMATI YA BUNGE YAPITISHA RANDAMA YA MADINI MWAKA 2026/27
* Madini Yachangia Asilimia 57 ya Mauzo Yote ya Bidhaa Zisizo za Asili Nje ya Nchi * Makusanyo mpaka Februari 2026 Yafikia Shilingi Bilioni…
WASIRA: CHAMA KITAENDELEA KUSIMAMIA MAENDELEO
Ataka uvumilivu kwa walioshindwa kufikia malengo ya uchaguzi, asema hasira inaweza kuleta hasara Na MWANDISHI WETU MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania…
WASIRA: CCM HAIBEBWI, INAFANIKIWA KWA UKUBWA WAKE NA IMANI YA WANANCHI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa…
MAKAMU WA RAIS AWASILI EQUATORIAL GUINEA KUMWAKILISHA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Malabo nchini…
SERIKALI YAIMARISHA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA LIMERICK
Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo (kulia) akiwa na Makamu wa Rais wa Chuo Kikuu cha LimerickΒ Profesa Colin…
TANZANIA BREWERIES PLC LEADERSHIP TAKE ACTION TO PROTECT WATER SYSTEMS IN DAR ES SALAAM
* TBL and city leaders unite to protect Dar es Salaamβs water systems * Clean up initiative shows action behind sustainability commitments and community…
πππππππππ ππππ ππππππ πππ ππππ πππππ ππ πππππππ ππππππππππ ππππ
Mkurugenzi Mkuu waΒ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) Dkt. Emmanuel Lameck Mkilia akizungumza na waandishi wa habariΒ …….. Zimesalia siku chache kabla ya…
RAIS SAMIA ASHIRIKI KIKAO CHA BARAZA LA UONGOZI LA (AU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika…
MTENDAJI MKUU WMA AITAKA MENEJIMENTI KUMSAIDIA RAIS SAMIA
WMA – DODOMA Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Alban Kihulla amewaelekeza wajumbe waΒ menejimenti ya Wakala hiyo kuwa na majadiliano ya…
DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI
…….. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaomba Watanzania waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na…
UTUPAJI WA NYAVU NA NGUO ZIWA VICTORIA CHANZO CHA UPUNGUFU WA SAMAKI
……….. Na Hellen Mtereko, Mwanza Kuendelelea kutupwa kwa nyavu zilizoisha na taka za nguo ndani ya Ziwa Victoria kumeelezwa kuwa ni mojawapo ya chanzo…
HALMASHAURI YA WILAYA MBINGA YAGAWA MBOLEA KWA SHULE ZINAZOLIMA ZAO LA KAHAWA
Na Mwandishi Wetu, Mbinga Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Kisare Makori, amekabidhi mifuko 750 ya mbolea aina ya DAP yenye thamani ya shilingi 63,000,000…
TANZANIA NA URUSI KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA TEKNOLOJIA ZA KISASA ILI KUKUZA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameshiriki katika hafla ya utiaji saini wa Hati…
DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akimfariji, Germina Lukuvi, mjane wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu,…
BARAZA JIPYA LA WAFANYAKAZI LAAGIZWA KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA OFISI
Na.OWM- KAM – Dodoma Baraza jipya la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano limeagizwa kuzingatia misingi ya mahusiano mazuri…
MRADI WA SEQUIP WAENDELEA KUBORESHA ELIMU YA SEKONDARI MTWARA
Na OWM – TAMISEMI,Mtwara Mkoa wa Mtwara umeendelea kupiga hatua katika kuboresha Sekta ya Elimu kufuatia utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari…
WATOTO 33 WAUNGANISHWA NA FAMILIA ZAO
Na WMJJWM, Morogoro Watoto 33 waliokuwa wakiishi na kufanya kazi mitaani mkoani Morogoro wameunganishwa na familia zao kufikia Februari 2026. Afisa Ustawi wa Jamii…
WATENGENEZA MAUDHUI WAHAMASISHWA KUTUMIA FURSA ZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUELIMISHA JAMII NA KUJIPATIA KIPATO
Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia, Nolasco Mlay, amewahimiza watengeneza maudhui nchini kutumia ubunifu wao kuelimisha jamii kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia,…
MSOMI ALIYEKUWA AKISHINDA AKISHONA VIATU MTAANI APATA SHAVU LA UN
Maisha yanaweza kuwa katili sana, hasa unapoona wadogo zako uliowasomesha wanakupita kimaendeleo wakati wewe umeshikilia karatasi za chuo zinazoliwa na mchwa. Mimi naitwa Mariam,…
SASA NI BOSI ILA AWALI ALIKUWA AKISHINDA AKIFUKUZIA INZI HUKU RADIO ZIKIPIGA KELELE BILA MTEJA
Naitwa Erick, mkazi wa jiji la Mbeya. Kwa miaka saba, nilikuwa nikipambana na biashara ya kuuza vifaa vya kielektroniki kama TV, redio, na pasi…
WANANCHI WATAKIWA KUTONUNUA MAFUTA MENGI KWA HOFU
Na Sophia Kingimali. Wananchi wametakiwa kutopaniki na kununua mafuta kwa wingi, bali waendelee na ununuzi wa kawaida kwani nchi ina akiba ya kutosha ya…
TANZANIA NA BENKI YA AfDB ZADHAMIRIA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MIRADI YA KIMKAKATI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya…
MAKABURI ZAIDI YA 3,000 YAHAMISHWA BUKOBA KUPISHA MRADI WA BIASHARA ZA MACHINGA
Na Silivia AmandiusΒ Bukoba. Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera imekamilisha zoezi la kuhamisha makaburi zaidi ya elfu tatu kutoka eneo la Kishenge kwenda Kata…
RASIMISHA PROGRAM YAJA KUMKOMBOA MWANAMKE MFANYABIASHARA
Mkurugenzi wa Program ya RasimishaΒ Leah Kalunde akizungumz katika katika hafla maalum ya kusheherekea siku ya wanawake hodari iliyowakutanisha wanawake wanaofanya biashara mbalimbali ambayo…
KIKWETE ATEULIWA KUWA MWAKILISHI WA NGAZI YA JUU WA MWENYEKITI WA KAMISHENI YA AU
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), Mhe. Mahmoud Ali Youssouf, amemteua Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Mwakilishi…
COCA-COLA YASHIRIKIANA NA SERIKARI KULINDA VYANZO VYA MAJI WAMI-RUVU
Farida Mangube Morogoro Kampuni ya Coca-Cola imewekeza zaidi ya Shilingi bilioni 5 katika mradi wa kulinda na kurejesha vyanzo vya maji vya Bonde la…
KAMATI YA PAMOJA YAPITIA UTEKELEZAJI, YAJADILI MAPENDEKEZO YA BAJETI 2026/2027
Kamati ya utekelezaji wa mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) inayoundwa na wajumbe kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…
TAASISI YA ATIDI YASISITIZWA KUSAIDIA SEKTA BINAFSI KUELEKEA DIRA 2050
Na. Jordan Mbwambo na Peter Haule, WF, Dodoma Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) ametoa rai kwa Taasisi ya Bima ya…
WATATU WANASHIKILIWA NA POLISI KWA KUCHAKACHUA MBOLEA MAKAMBAKO
Polisi mkoani Njombe inawashikilia watu watu akiwemo James Elias Nziku(41),Ahmed Abdalah Gunda(21)na Seleman Lameck Msiani(37) wakazi wa makambako mkoani Njombe baada ya kukutwa katika…
MATUKIO KATIKA PICHA
Viongozi na waombolezaji mbalimbali wamewasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Uratibu na Wenye Ulemavu) marehemu Mhe. William V. Lukuvi,…