TAASISI YA ATIDI YASISITIZWA KUSAIDIA SEKTA BINAFSI KUELEKEA DIRA 2050
Na. Jordan Mbwambo na Peter Haule, WF, Dodoma Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) ametoa rai kwa Taasisi ya Bima ya…
Na. Jordan Mbwambo na Peter Haule, WF, Dodoma Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) ametoa rai kwa Taasisi ya Bima ya…
Polisi mkoani Njombe inawashikilia watu watu akiwemo James Elias Nziku(41),Ahmed Abdalah Gunda(21)na Seleman Lameck Msiani(37) wakazi wa makambako mkoani Njombe baada ya kukutwa katika…
Viongozi na waombolezaji mbalimbali wamewasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge,Uratibu na Wenye Ulemavu) marehemu Mhe. William V. Lukuvi,…
Na. Fullshangwe Blog. Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Wilaya ya Siha, Michael Mushi, ameitaka jamii kuchukua hatua za haraka pindi wanapobaini mtu mwenye…
25 Machi, 2026 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI …
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiagana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC) Kanda ya Afrika Mashariki, Bi.…
NA MWANDISHI WETU, CHWAKA Katika kuboresha sekta ya elimu Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Mhe. Issa Gavu leo machi 25 amekabidhi vitabu kwa ajili…
……. NA DENIS MLOWE IRINGA JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa limevunja mtandao mkubwa wa wizi wa pikipiki unaofanya kazi katika mikoa kadhaa nchini,…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akiwasili katika Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es…
NA MWANDISHI WETU, DODOMA MAHAKAMA ya Wilaya ya Chemba, mkoani hapa imemtia hatiani Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Babayu, kata ya Babayu Wilaya…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema suala la utekelezaji wa mabadiliko na maboresho yaliyofanyika kwenye Sera…
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amewasili katika hafla ya maadhimisho ya miaka 10 ya Malkia wa Nguvu Legacy Mark 2026 iliyoandaliwa na…
Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia, kutoka Wizara ya Nishati, Bw. Nolasco Mlay, ameshiriki mafunzo maalum kwa waandaaji wa maudhui (content creators) yanayofanyika leo…
Tanzania imesisitiza dhamira yake kuendeleza ushirikiano wa kikanda katika usimamizi wa rasilimali za maji katika Mkutano wa Maji wa Sululta na Diplomasia ya Maji…
Naitwa Kelvin, mkazi wa Arusha. Katika jamii yetu, mwanaume anapofikisha umri fulani bila mke, anaanza kudharauliwa. Mimi nilikuwa na kila kitu; gari, nyumba, na…
Marehemu William Vangimembe Lukuvi alizaliwa Agosti 15, 1955 katika kijiji cha Mapogoro, mkoani Iringa. Alisoma elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kitanewa kuanzia…
Nilipofika mwisho wa nguvu zangu, nilikuwa tayari kukubali kushindwa. Mimi ni Elias kutoka Singida, na nilikuwa na kesi ya kifamilia iliyochukua muda mrefu sana…
NA DENIS MLOWE IRINGA KAMPENI kubwa ya upandaji miti imezinduliwa rasmi katika Kata ya Mshindo, ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa , ikiwa…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Hamad Abdallah (kushoto) akito taarifa ya utekelezaji wa mradi Housing Scheme Kawe wakati Kamati…
Afisa Mkuu Rasilimali Watu wa Benki ya NMB, Bw. Emmanuel Akonaay (wa pili kushoto) pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini (DarTu),…
Shinyanga. Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Zege la Gagi linalojengwa Kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga kupitia Mfuko wa Dharura (CERC) limeondoa adha…
Na Silivia Amandius Bukoba. Msemaji na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, anatarajiwa kufanya ziara ya…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imekamilisha ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya…
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo Kikuu cha Vienna katika…
Na: Dk. Reubeni Lumbagala Utunzaji wa Mazingira ni jukumu letu sote. Uwe mtoto, kijana, mtu mzima au mzee. Uwe mwanamke au mwanamme, uwe msomi…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza kufurahishwa na ushirikiano wa kimatibabu kati ya Hospitali ya Benjamin Mkapa na Chuo Kikuu cha Tiba…
Na Mwandishi wa OMH Mbeya. Tanzania imepiga hatua muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Marekani baada ya Serikali na Panda Hill Tanzania Limited…
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za. Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila, amesema Serikali inaendelea kusimamia…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa…
Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika vya Mazao nchini kutumia mizani za kidigitali katika kupima mazao ya wakulima…
Wafanyakazi Wanawake wa Sekta ya Maji wamemtambua Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, kwa tuzo mahsusi kwa kuthamini mchango mkubwa anaotoa…