Naitwa Erick, mkazi wa jiji la Mbeya. Kwa miaka saba, nilikuwa nikipambana na biashara ya kuuza vifaa vya kielektroniki kama TV, redio, na pasi pale mtaa wa uhuru. Nilikuwa na duka lililopambwa kwa vioo na taa za kuvutia, lakini mfukoni nilikuwa nakauka kama jangwa la Sahara.

Kila asubuhi nilikuwa nawasha redio kubwa dukani kwangu ili kuvutia wateja, lakini watu walikuwa wakipita na kusikiliza muziki tu kisha wanaenda kununua kwa jirani yangu ambaye duka lake lilikuwa dogo na chafu.

Hali hii ilinitesa sana kisaikolojia. Nilianza kuonekana mwanaume niliyefeli mbele ya mke wangu na ndugu zangu, kwani kila mwezi nilikuwa nakopa pesa ya kulipa kodi ya pango. Nilihisi nina nuksi ya ajabu inayowafukuza watu wenye pesa na kuvuta watazamaji tu….. SOMA ZAIDI