Top Stories
View all
TANZANIA IMEFANIKIWA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VIKOPE
Mratibu wa Taifa wa Mpango wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele Dkt. Upendo Mwingira akifungua mafunzo ya Kimataifa ya uchukuaji wa Takwimu za ugonjwa wa…
MFUMUKO WA BEI WAPAAA
Na Alex Sonna,Dodoma Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei wa Taifa Kwa mwaka ulioishia mwezi jana umeongezeka hadi asilimia 3.7…
KOKA ACHANGIA MIL.1.5 UKARABATI WA DARASA S/M MWANALUGALI NA MIFUKO YA SARUJI KATIKA UJENZI WA CHOO
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA MBUNGE wa jimbo la Kibaha Mjini ,mkoani Pwani ,Silvestry Koka, amechangia mifuko ya saruji 50 ili kuanza ujenzi wa choo katika…
LIGI KUU BARA KUANZA AGOSTI 23,SIMBA NA YANGA KUMENYANA JANUARI 4 MWAKANI
Na Asha Said, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya soka Tanzania Bara inatarajiwa kuanza Agosti 23, mwaka huu wakati watani wa jadi, Simba na…
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHUDHIRIA MKUTANO WA 12 WA DHARURA WA AU NIGER
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameshiriki katika Mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi…
WATAALAMU WANATAKIWA KUENDELEA KUKUZA VIPAJI VYA WANAFUNZI WA UDSM
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete akiangalia baadhi ya bidhaa iliyobuniwa na mmoja wa wanafunzi kutoka Chuo KIkuu cha…
REQUEST FOR SPONSORSHIP FOR THE 38th BAGAMOYO INTERNATIONAL FESTIVAL OF ARTS AND CULTURE FROM 19th – 26th OCTOBER, 2019
******************** Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo – TaSUBa (Formerly Bagamoyo College of Arts) is a semi-autonomous government agency that provides training, research and…
VACANCY ANNOUNCEMENT
SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY VACANCY ANNOUNCEMENT Background The Southern African Development Community (SADC) is a regional economic community founded and maintained by…
KIKWETE AFURAHISHWA NA TEKNOLOJIA ZINAZOBUNIWA NA VETA
Rais Mstaafu akielezewana namna teknolojia ya meza ya kupasha na kupooza vinywaji na chakula (Heating Table) inavyofanya kazi baada ya kutembelea banda la Chuo…
WAKAZI WA KATA YA LUDUGA WAOMBA SERIKALI KUWAFIKISHIA HUDUMA YA UMEME
NJOMBE Wakazi wa vijiji vya Hanjawanu , Igando na Korinto kata ya Luduga wilani Wanging’ombe mkoani njombe wameiomba serikali kuwapelekea umeme katika vijiji vyao…
NYONGO: SERIKALI IPO MACHO MASAA 24 KULINDA RASILIMALI ZA MADINI
Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Madini, John Bina akizungumza katika Kongamano baina ya Wafanyabiashara wa sekta ya madini na Tume ya Madini kwa…
BRAZIL WATWAA COPA AMERICA BAADA YA KUICHAPA 3-1 PERU
Wachezaji wa Brazil wakifurahia na taji lao la Copa America baada ya kukabidhiwa kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Peru kwenye fainali usiku wa…
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AMTUMIA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MTAWALA WA SHARJAH
Balozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, kulia akiwasilisha Salamu za…
MAISHA MAGIC BONGO KUSHUSHA VITU VIZITO SOKONI1!
Mkuu wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo Barbara Kambogi akizungumza na Raisi wa Shirikisho la Wasanii Simon Mwakifamba katika hafla ya usiku wa Jukwaa…
WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI MISRI KWENYE ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri Mkuu ya Kiarabu Misri, Dkt. Moustafa Madbuoly, wakati akiwasili mjini Cairo Misri kwa ziara ya kikazi ya…
BREKING NEWS:WAFANYAKAZI 7 WA AZAM MEDIA WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Wafanyakazi watano wa Azam Media ni miongoni mwa watu saba waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea katikati ya Shelui na Igunga. Wafanyakzi wengine wawili…
BENKI YA NMB YAAHIDI KUENDELEA KUCHANGIA JAMII KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA
MGENI rasmi, Ofisa Habari na Uhusiano wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kupokea msaada wa Madawati 50 yenye…
NEW LIGHT WATAKA USHIRIKIANO
Wanafunzi wa darasa la sita wa shule ya awali na msingi New Light Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkpani Manyara wakiwa kwenye kikao…
DIAMOND AMEWAZAWADIA MAGARI MKE WAKE MTARAJIWA PAMOJA NA MAMA YAKE KWENYE BIRTHDAY PARTY
Tanasha na Diamond Kwenye birthday party ya mrembo huyo Na mama Dangote wakipata picha ya pamoja Mama Dangote (Bi Sandra) kwenye birthday yake na…
DCB YAJIKITA KWENYE VIWANDA NA KILIMO YAZINDUA DCB SOKONI KUWAWEZESHA WATANZANIA KIUCHUMI
…………………… Na Mwandishi Wetu KATIKA kuhakikisha azma ya serikali ya awamu ya tano ya kuwa na uchumi wa kati unaotegemea viwanda ifikapo Mwaka 2025…
AUTO-ELECTRIC PANEL KIFAA CHA KUFUNDISHIA KWA VITENDO KATIKA UMEME WA VIWANDANI NA MIGODINI
mwanagenzi kutoka VETA-Moshi, Bw. Sadick Ngonyani akionesha mfano wa mtambo wa umeme unaotumika katika Migodi, Magari makubwa pamoja na Viwandani katika maonesho ya biashara…
MADAGASCAR,ALGERIA ZATINGA ROBO FAINALI YA AFCON 2019
TIMU za Algeria na Madagascar zimefanikiwa kuingia Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 baada ya kuwatoa Guinea na Jamhuri ya…
MAREKANI YATETEA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE,YAICHAPA 2-0 UHOLANZI
Wachezaji wa Marekani wakipongezana baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Uholanzi, mabao ya Megan Rapinoe dakika ya 61 kwa penalti na Rose Lavelle dakika ya…
KAMPUNI YA UUZAJI MAGARI KWA NJIA YA MTANDAO YA NIKKYO YATUA RASMI TANZANIA
Viongozi wa kampuni ya Nikkyo wa nchini Tanzania na Japan wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuizindua rasmi kampuni hiyo ambayo inajihusisha na…
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 12 WA DARYURA WA AU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Julai 07,2019 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
WANACHAMA PSSSF WAASWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUFUATILIA TAARIFA ZA MICHANGO YAO
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said WASTAAFU watarajiwa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) wameaswa kujenga utamaduni wa kufuatilia taarifa za…
TRC kufunga Njia za Reli kwa saa 72 ili kukarabati Reli ya Kati
Mkurugenzi wa Shirika la Reli (TRC) Bw. Masanja Kadogosa akizungumza na waandishi wa habari hukusu reli ya zamani ya shirika hilo ambayo itafungwa kwa…
NAIBU WAZIRI WA ARDHI DK. ANGELINA MABULA ATEMBELEA BANDA LA WATUMISHI HOUSING
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Shirika la Watumishi Housing Company (WHC) Bw. Raphael Mwabuponde akitoa maelezo juu ya miradi mbalimbali inayofanywa na Watumishi Housing…
WAZIRI LUGOLA APIGA MARUFUKU MAKAMANDA WA POLISI KUYAKAMATA MABASI USIKU, ASEMA NCHI INA AMANI, ATAKA YASAFIRI SAA 24 BILA KUBUGUDHIWA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Namibu, Kata ya Neruma, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda…
SERIKALI YAIKABIDHI MWAUWASA UJENZI WA MRADI WA MAJI KWIMBA
Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akizungumza wakati wa makabidhiano ya ujenzi wa mradi wa maji wa Shilima, Wilaya ya Kwimba, Mkoani Mwanza. Wa…
UJENZI WA OFISI ZA UTHIBITI UBORA WA SHULE WAANZA KWA KASI WILAYANI MISUNGWI
Naibu Waziri wa Elimu, Saysnia na Teknolojia William Ole Nasha akikagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi ya Uthibiti ubora wa shule Wilaya ya Misungwi…
Watanzania wamekuwa na mwamko mkubwa katika Michezo; Dkt.Mwakyembe.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na wanariadha walioshiriki mbio za Capital City Marathon (hawapo pichani) kwa niaba ya Makamu wa…
Vijana Wapigwa Msasa Ulipaji Kodi
Na.Mwandishi Wetu-DSM Vijana wapewa elimu kuhusu kuanzisha biashara ili kujikwamua na uchumi kwa kuchangamkia fursa zilizoko kwenye maeneo yao na kujua umuhimu wa kodi…