Meneja Masoko na Mawasiliano wa Shirika la Watumishi Housing Company (WHC) Bw. Raphael Mwabuponde akitoa maelezo juu ya miradi mbalimbali inayofanywa na Watumishi Housing kwa Naibu Waziri wa Ardhi Dr. Angella Mabula leo 07.07.2019 wakati Naibu Waziri alipotembelea banda hilo
Naibu Waziri wa Ardhi Dr. Angella Mabula akisaini kitabu cha wageni baada ya kusalimiana na wafanyakazi wa Watumishi Housing (WHC)katika banda lao lililipo katika Banda kubwa la Jakaya
Naibu Waziri wa Ardhi Dr. Angellah Mabula atembelea banda la Watumishi Housing katika maonesho ya sabasaba leo tarehe 07.07.2019
Wafanyakazi wa Watumishi Housing wakiwa wamejiandaa kikamilifu kupokea wageni katika banda lao kwenye maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar Ea Salaam
Naibu Waziri wa Ardhi Dr. Angellah Mabula akiondoka mara baada ya kutembelea banda la Watumishi Housing katika maonesho ya sabasaba leo tarehe 07.07.2019