FAHARI TUAMKE MAENDELEO YAADHIMISHA SIKU YA MATENDO MEMA KWA UPANDA MITI, KUCHANGIA DAMU
Na Heri Shaaban, Dar es Salaam TAASISI ya Fahari Tuamke Maendeleo imeadhimisha Siku ya Matendo Mema Duniani kwa kupanda miti na kuchangia damu katika…
Na Heri Shaaban, Dar es Salaam TAASISI ya Fahari Tuamke Maendeleo imeadhimisha Siku ya Matendo Mema Duniani kwa kupanda miti na kuchangia damu katika…
Na Mwandishi Wetu – Kilimanjaro Mahakama ya Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, imewatia hatiani watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa makosa ya…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania inaendelea kujizatiti kusawazisha maendeleo ya kiuchumi, uendelevu wa…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI,Prof. Riziki Shemdoe, akizungumza na waandishi wa habari ( Hawapo Pichani ) jijini Dodoma Aprili 11,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi (Doctor of Letters…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linaendelea na mapambano dhidi ya wahalifu mbalimbali wakiwemo wale wanaosababisha taharuki katika jamii kwa kuzusha kuibiwa sehemu nyeti…
Morogoro Watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia katiba, sheria, kanuni na taratibu na kuepuka lugha zozote…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa vijana kusimama imara na kulinda umoja, kujenga…
TANZANIA imeendelea kung’ara katika anga la kimataifa baada ya kuingiza vipengele 41 katika Tuzo za Utalii na Usafirishaji Duniani (World Travel Awards), hatua inayoimarisha…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wataalamu wa fani ya ubunifu majengo na ukadiriaji majenzi nchini kuhakikisha wanatumia uwezo wao wa kitaaluma kuibua bunifu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa,…
Na Miza Kona, Maelezo Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha kuwa taasisi za viwango zinawezeshwa ipasavyo ili ziweze kusimamia…
Mojtaba Khamenei, kiongozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, bado anapona majeraha makubwa aliyopata katika shambulio la anga lililomuua baba yake, Ayatollah Ali…
KAMPUNI ya Uingizaji na Usambazaji wa mafuta Jamii ya Petrol nchini ya ‘MOIL Energies’ imesema imefurahishwa kwa kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ulipaji kodi…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo (Kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Shelter Afrique Bw.Thierno-Habib Hann wakiwa katika picha…
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Denis Masanja katikati aliyevaa kaunta suti,akikata utepe kuzindua magari ya Chama kikuu cha ushirika wilaya ya Tunduru(TAMCU LTD)magari hayo…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Alhaj Hemed Suleiman Abdulla ametoa maelekezo kwa Taasisi zinazohusika na uratibu wa Ibada ya Hijja kwa mwaka…
Imeelezwa kuwa usafi wa mazingira ni nyenzo ya afya na maendeleo, jambo linalohitaji ushirikiano wa kila mwananchi ili kuhakikisha kila kona ya manispaa inabaki…
Ziara ya Rais mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, mjini Juba imeashiria hatua mpya ya kidiplomasia katika kuhuisha mchakato wa amani nchini Sudan Kusini. …
Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Ferdinand Mdoe,akizungumzia ubovu wa barabara ya Songea-Namtumbo-Tunduru ambayo kwa sasa inalalamikiwa na madereva na watumiaji wengine…
Na OWM – TAMISEMI, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe…
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Kampuni ya Equinor Tanzania AS pamoja na Shell Exploration and Production Tanzania Ltd…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akizungumza katika Mjadala wa Kitaalamu unaofanyika sambamba na Kongamano la Pili la…
Tanzania na Kenya zimethibitisha upya dhamira yao ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, huku viongozi wa nchi hizo mbili wakisisitiza kuongeza ushirikiano katika sekta za…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo akipokea taarifa kuhusu Ushirikiano na uhusiano Kati ya Tanzania na…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki Mkutano wa Tisa wa Bahari ya Hindi, unaofanyika jijini…
Mwamvua Mwinyi, Kibaha MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha, Mwajuma Nyamka, amewaelekeza viongozi wa kata na mitaa katika kata ya Visiga…
Mtaalamu wa Maabara wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Glory Mtui akiiruhusu roboti kuendelea na upimaji wa sampuli za damu kwa kutumia teknolojia…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiongoza kikao chake na Ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika, Ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji…
📌 Asema imesaidia kupunguza athari za mafuriko nchini. 📌 TANROADS yapewa pongezi Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameonesha kuridhishwa kwake na kazi kubwa iliyofanywa…
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema mawazo ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa Chuo Kikuu…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore, amewahimiza viongozi na watendaji wa vyuo vya ufundi stadi…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla akisaini Hati ya Makabidhiano kati ya Serikali na Umoja wa…