Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

KANISA LATOA MSAADA WA MAGODORO 100 LOLEZA SEKONDARI

Kanisa la Assemblies of God la Tanzania (TAG) Jerusalem Temple lililopo Sokomatola jijini Mbeya, limetoa msaada wa magodoro 100 yenye thamani ya TZS Milioni 4.2 kwa Shule ya Sekondari Loleza ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 85 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo. Akipokea msaada huo Aprili 26, 2024 kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Katibu Tawala wa

John Bukuku By John Bukuku

WIZARA YA MALIASILI YAONESHA UBABE MASHINDANO YA RIADHA MEI MOSI

Na. John I. BERA - ARUSHA Wizara ya Maliasili na Utalii imeendelea kuonesha ubabe wake kwenye mbio ambapo kwa upande wa wanaume imeibuka mshindi wa tatu kwenye mbio za mita 3000 na mbio za 1500, mshindi wa tatu kwenye mbio za mita 800 huku ikimaliza mshindi wa tatu kweny mbio za mita 200 katika Mashindano Mei Mosi 2024 yanayoendelea kufanyika

John Bukuku By John Bukuku

DC LULANDALA AWAONGOZA WANA MANYARA MIAKA 60 YA MUUNGANO 

Na Mwandishi wetu, Simanjiro MKUU wa Wilaya ya Simanjiro, Fakii Raphael Lulandala amewaongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Manyara kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. DC Lulandala ambaye amemwakilisha Mkuu wa mkoa huo Queen Cuthbert Sendiga amewaongoza wana Manyara kwenye maadhimisho hayo yaliyofanyika mji mdogo wa Orkesumet. DC Lulandala akizungumza kwenye maadhimisho hayo amesema

John Bukuku By John Bukuku

WALIOCHEPUSHA VYAKULA VYA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI,WAHOJIWA

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji watu 11 akiwemo Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya kuchepusha chakula cha waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji kwa utaratibu usio rasmi. Mkuu wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusikitika endapo

John Bukuku By John Bukuku

MSAJILI WA HAZINA AKUTANA NA BOSS MPYA WA HESLB JIJINI DAR

  Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Bill Kiwia (wa pili kushoto), katika kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Dkt. Bill Kiwia (kushoto), akizungumza alipokuwa akitoa wasilisho lake kwa Msajili wa Hazina, Nehemiah

John Bukuku By John Bukuku

VIONGOZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS WASHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisoma jarida la Uhuru ya Kijani wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Aprili, 2024 na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

RAIS DKT. SAMIA: MUENDELEE KUFUATILIA TAARIFA ZA MAMLAKA YA JALI YA HEWA KUEPUKA MADHARA WAKATI WA MVUA

Na Sophia Kingimali. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wananchi kuhakikisha wanafuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea katika kipindi hiki cha mvua huku serikali ikiwa enaendelea kuhakikisha inarejesha miundombinu iliyoharibika. Wito huo ameutoa leo wakati wa sherehe za kilele cha  maadhimisho ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara