SERIKALI YAENDELEA NA MKAKATI WA KULINDA VYANZO VYA MAJI NCHINI
Serikali kupitia Wizara ya Maji imesema inaendelea na programu maalum ya Uhifadhi wa Vyanzo vya Maji inayotekelezwa kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2021 hadi…
Serikali kupitia Wizara ya Maji imesema inaendelea na programu maalum ya Uhifadhi wa Vyanzo vya Maji inayotekelezwa kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2021 hadi…
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kuhakikisha…
Farida Mangube, Morogoro Serikali kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) imeendelea kuimarisha uhifadhi wa misitu na maendeleo ya jamii kwa kutoa ruzuku zinazolenga kukuza…
Zaidi ya wananchi 700,000 kutoka kata 19 katika Mkoa wa Geita wanatarajiwa kunufaika na mradi mkubwa wa maji unaogharimu zaidi ya Sh bilioni 124,…
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais Mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera, ofisini kwake jijini…
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Tasnia ya Pamba uliofanyika Aprili 16, 2026 jijini Dodoma Washiriki wa…
Na Silivia Amandius. Bukoba. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limekutana na wadau wa usafiri wa majini mkoani Kagera kukusanya maoni kuhusu athari…
Na. Sixmund Begashe, Njombe Timu ya Mchezo wa kuvuta kamba ya Wanaume na wanawake ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeiburuza bila huruma timu…
Na.Sophia Kingimali,Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa rai kwa madaktari nchini kutumia teknolojia za kisasa…
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewahimiza viongozi na watendaji wa Serikali kuweka mikakati madhubuti ya kuimarisha usalama wa kikanda ili kuchochea uwekezaji wa kikanda…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kushoto), na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50, Bw. Alain Ebobisse, wakiwa katika…
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa pili kulia), Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Mipango ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa…
Meneja Biashara wa Samsung Electronics Tanzania, Bw. Daesong Ra (kushoto) akizindua rasmi duka jipya la kampuni hiyo Jijini Dodoma. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitembelea na kuifariji familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi…
NA SILIVIA AMANDIUS BUKOBA. Watoto wenye mahitaji maalumu katika Manispaa ya Bukoba na wilaya ya Muleba mkoani Kagera wameendelea kunufaika na msaada wa vifaa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima ya Kibinadamu ya Upasuaji wa Ubongo kutoka kwa…
Mwamvua Mwinyi, Pwani April 16, 2026 MKOA wa Pwani umejipanga kupokea Mwenge wa Uhuru Aprili 18, 2026, huku wananchi wakihimizwa kujitokeza kwa wingi katika…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Mabanda ya maonesho ya wadau wa Sekta ya Afya kabla ya…
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa – Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amefanya Kikao kazi na…
Waziri Mavunde Afafanua Leseni za Utafiti Ndizo zinaibua Migodi Mikubwa, Kati 📍 Dodoma Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amesema Serikali inaendelea na Marekebisho…
Na. Mwandishi wetu Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambaye pia ni Rais wa zamani wa Malawi, Mhe. Lazarus McCarthy Chakwera…
(HUMANITARIAN AWARD) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo maalum ya kimataifa ya Ubinadam ya upasuaji wa ubongo,…
Dodoma. Katika kuendelea kuimarisha uwekezaji wa umma, Serikali imepanga kukamilisha Muswada wa Sheria ya Uwekezaji wa Umma katika mwaka wa fedha 2026/27, kama sehemu…
Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imeonyesha kuridhishwa na utekelezaji wa miradi…
Mgeni Rasmi na Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu (wa pili kulia), akipokea hundi mfano kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano ya Wawekezaji, Uendelevu na Mawasiliano…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Pili…
Ataka watanzania waache tabia ya kujidogosha WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema katika kipindi kifupi cha uongozi wake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameandika…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akitoa ufafanuzi kwa Waheshimiwa Wabunge, wakati akichangia mjadala wa…
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri…
Mawakili 30 kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wamehitimu Mafunzo ya kitaalamu yanayohusu Masuala ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta…
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) amezitaka Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira nchini kuhakikisha wanadhibiti maji yasiyolipiwa (NRW) katika maeneo wanayotoa…
Na Mwandishi Wetu Aprili 14, 2026, katika Mahakama ya Wilaya ya Hanang’, shauri la uhujumu uchumi namba 7891/2026 limefunguliwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi,…
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri…
Na.SOPHIA KINGIMALI. Katika kipindi ambacho taifa linaendelea kurejea katika hali ya utulivu kufuatia changamoto mbalimbali zilizojitokeza nchini, waandishi wa habari wametakiwa kutumia taaluma yao…
Na Mwandishi wetu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeanza kuweka utaratibu wa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu kutoka…