- Advertisement -
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesihi wawekezaji kutoka Mataifa mbalimbali (USA) kuwekeza katika sekta ya nishati nchini ikiwemo eneo la nishati safi ya kupikia, nishati jadidifu pamoja na gesi ili kuendelea kuchochea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti. Kauli hiyo imetolewa Machi 27, 2024 katika Ofisi Ndogo ya Wizara iliyopo jijini Dar es…
MSEMAJI wa familia ya Hayati Sokoine Bw. Lembris Kipuyo,akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 28,2024 jijini Dodoma kuhusu kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itakayofanyika Aprili 12, 2024, katika Kijiji cha Enguik, Monduli Juu mkoani Arusha. Na.Alex Sonna-DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu…
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akizungumza wakati akifunga Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Afya ya Msingi uliofanyika kwa siku Tatu ulioshirikisha washiriki kutoka ndani na nje ya nchi Jijini Dodoma. NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akisisitiza jambo wakati akifunga Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Afya ya Msingi uliofanyika kwa siku Tatu ulioshirikisha washiriki kutoka ndani na…
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo ameipongeza ACB kwa kuandaa hafla ya kufuturisha wateja, Wafanyakazi na wadau mbalimbali wa Benki hiyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena tarehe 25 Machi, 2024, akiongea katika hafla hiyo ambayo Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Ilala ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi, Mhe. Mpogolo amesema kwamba “kitendo cha kufuturisha kilichofanywa na…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Akiba Commercial Bank Plc Bi. Catherine Kimaryo amewashukuru Wateja, Wafanyakazi na Wadau wote wa ACB kwa kuitikia kwa wingi mwaliko wa hafla ya futari uliofanyika Jumatatu tarehe 25 Machi, 2024 katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo . Pia hafla hiyo…
Na Prisca Libaga Maelezo Kilimanjaro Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini tarehe 27.03.2024 ilitoa elimu juu ya madhara ya matumizi na usafirishaji haramu wa dawa za kulevya na kemikali bashirifu kwa Maafisa Udhibiti wapatao 40 wa Mpaka wa OSBP Holili, Wilayani Rombo katika Mkoa wa Kilimanjaro. Maafisa waliopatiwa elimu hiyo wanatoka katika Taasisi…
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge ametoa rai kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba kufanyakazi kwa kuhakikisha yanatenda haki kwa wananchi kwani hakuna aliye juu ya sheria. Aidha ameeleza kuwepo kwa mabaraza hayo ni matarajio yake kuona migogoro ya ardhi inakwenda kupungua ama kumalizika na kubakia historia katika mkoa huo. Kunenge alitoa rai hiyo, wakati…
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha KATIBU Tawala wilaya ya Kibaha , mkoa wa Pwani, Moses Magogwa amewaasa wananchi kujiepusha na ukataji miti kiholela na badala yake wajenge tabia ya kupanda miti na kuitunza kwani ndio jawabu la kupambana na uharibifu wa mazingira. Ameeleza hayo wakati Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibaha kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania…
Confirmed
0
Death
0
Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imemhukumu MELKIADI ZAKARIA TLEHEMA aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Hayloto kata ya Nambris, Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa makosa…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifuatilia mawasilisho mbalimbali wakati wa Jukwaa la Uwekezaji kati ya China na Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa…
Sign in to your account