Ad imageAd image

Latest news

MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UFUATILIAJI NA UDHIBITI WA MAGONJWA (IDSR) NGAZI YA MKOA YAFANYIKA IRINGA

Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga katika udhibiti na Ufuatiliaji wa magonjwa imefanya kikao cha mapitio ya utekelezaji wa Shughuli za Ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa yaliyopewa kipaumbele ngazi ya Mkoa.

Alex Sonna By Alex Sonna

WAZIRI GWAJIMA:USTAWI WA JAMII KUWA IDARA KAMILI INAYOJITEGEMEA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, akizungumza  wakati akifunga Mkutano wa tatu wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii uliofanyika leo Septemba 20,2024 Moshi mkoani Kilimanjaro. Baadhi ya washiriki wakifatilia hotuba ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,(hayupo pichani )  wakati akifunga Mkutano wa

Alex Sonna By Alex Sonna

TUENDELEE KUCHUKUA TAHADHATARI KWA MAGONJWA YA MLIPUKO, YASIYOAMBUKIZA

Na WAF - Ruvuma, Songea Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari juu ya magonjwa ya mlipuko pamoja na magonjwa Yasiyoambukiza. Waziri Mhagama amesema hayo Septemba 20, 2024 alipokua akiongea na watumishi wa Hospitali ya St. Joseph's mission ambayo ni Hospitali ya Rufaa ya Peramiho alipofanya

John Bukuku By John Bukuku

DKT ABBAS: RAIS SAMIA ANAIENZI HISTORIA YA MAJIMAJI KIVITENDO

................... Na Mwandishi Wetu, Nandete Rais wa Awamu ya Sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aneelezwa kuwa mmajimui wa Kiafrika anayeenzi mchango wa wapigania uhuru kivitendo ikiwemo historia ya vita ya Maji Maji iliyoazishwa na wazalendo wa kabila la Wamatumbi na kuenea eneo kubwa la jamii za Kusini kupinga ukoloni wa Kijerumani kati ya mwaka 1905 hadi 1907. Hayo yamesemwa

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AZIDI KUIFUNGUA KUSINI KIUTALII WA MALIKALE.

**†********* Na Sixmund Begashe -Kilwa Jitihahada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuifungua zaidi Mikoa ya Kusini kiutalii inashika kasi hususani katika Utalii wa Kihistoria na Malikale kwa kuyapa Mapango ya Nandete na Namaingo hadhi ya kuwa Urithi wa Taifa . Hili limejidhihirisha kwa namna Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na

John Bukuku By John Bukuku

ENG. JUMBE AONGOZA MAHAFALI YA 53 SHULE YA MSINGI JOMU

Mmoja wa Waliokuwa Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Jomu iliyopo kata ya Kambarage Manispaa ya Shinyanga Mhandisi James Jumbe Wiswa (kushoto) akikabidhiVifaa vya TEHAMA kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Awali na Msingi, Pendo Himbi   Na Kadama Malunde- Malunde 1 blog   Mmoja wa Waliokuwa Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Jomu iliyopo kata ya Kambarage

Alex Sonna By Alex Sonna

VIJANA SHIKAMANENI KULINDA AMANI YA NCHI YETU- DKT. BITEKO

*Asema Amani ya Tanzania na Dunia ipo Mikononi mwa Vijana *Asema Teknolojia Isitumike kama Jukwaa la Uhalifu *Serikali Yaendelea Kushirikisha Vijana katika Masuala ya Maendeleo *Asisitiza kuwa Kijana Bora Hujenga Taifa Bora la Kesho Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa rai kwa vijana nchini

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Biashara

BENKI YA ACB WANAKUAMBIA “TUPO MTAANI KWAKO”

Tumezindua rasmi program yetu ya TUPO MTAANI KWAKO kupitia timu yetu bobezi ya mauzo. Sasa tunakufikia popote ulipo kupitia timu yetu ya mauzo kupata huduma zetu za kufungua akaunti ,

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI IIPE ATCL UHURU WA KUJIEDESHA KIBIASHARA

Dar es Salaam - Serikali, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, imetakiwa kutengeneza sera rafiki zitakazoisaidia Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kupiga hatua kubwa na kuleta tija kwa Taifa katika utendaji

John Bukuku By John Bukuku