WATOA HUDUMA YA MAUDHUI MTANDAONI KUPUMUA BAADA YA ADA ZA LESENI KUSHUSHWA
Na. John Bukuku – Dodoma Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Khamis Mwinjuma, amesema kuwa Serikali imepunguza kwa kiwango kikubwa ada…
Na. John Bukuku – Dodoma Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Khamis Mwinjuma, amesema kuwa Serikali imepunguza kwa kiwango kikubwa ada…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofauti ya picha alivyowasili katika uwanja wa Ndege Jijini Addis…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema ni jambo muhimu kwa viongozi wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya…
Mwamvua Mwinyi, Rufiji Februari 12, 2026 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema takriban nyumba 280 zimeezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua…
Na John Walter-Manyara Wizara ya Maji imezindua mpango maalum wa uwekezaji katika maji safi, usafi wa mazingira na usafi binafsi wenye thamani ya shilingi…
▪Asisitiza Tanzania itaendelea kuwa kituo bora cha ushirikiano wa kikanda na Afrika ▪Asema shilingi bilioni 18.5 zimetengwa kwa ajili ya uanzishaji wa huduma za…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro, leo, Alhamis, Februari 12, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya…
Mkurugenzi kuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Seif Abdalla Juma akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na …
Kaimu Mkurugenzi Mkuu FCC Bi. Khadija Ngasongwa, akitoa maelezo kuhusu wajibu wa FCC kwenye kusimamia ushindani na kumlinda mlaji wakati wa kikao kazi na…
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Leonard Akwilapo akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa mpira unaotarajiwa kutumika katika…
Na mwandishi wetu. Arusha TAAASI ya waandishi wa habari ya kusaidia jamii za pembezoni (MAIPAC) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari nchini, ya uandishi…
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA (ICT Commission – ICTC) Dkt. Nkundwe Mwasaga, akizungumza na waandishi wa habari leo, Februari 12, 2026, jijini Dar…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba, ambae ni mgeni rasmi, kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya Taasisi ya…
Na WAF, Dar es Salaam Wizara ya Afya kupitia Baraza la Tiba Asili imepeleka timu ya wataalam mkoani Dar es Salaam kwa kushirikiana na…
Dodoma, Tanzania imeendelea kuimarisha na kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha maarifa na uzoefu katika usimamizi na uendeshaji wa Sekta ya Madini barani Afrika,…
…………. Serikali kupitia Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeendelea kuimarisha usimamizi wa matumizi salama ya mionzi nchini kwa kufanya ziara maalum katika…
📍 Cape Town, Afrika Kusini Sekta ya Madini Tanzania imeendelea kudhihirisha mwelekeo chanya wa ukuaji na uimarikaji wa kimkakati kufuatia mwendelezo wa vikao…
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro Bw. Abdul-Razaq Badru amepokelewa Rasmi kwa kukagua gwaride la heshma katika ofisi za…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesisitiza kuwa ushiriki wa Wanawake na Wasichana katika sayansi ni nyenzo muhimu ya maendeleo ya…
Wakaazi wa kijiji cha Chuka walishuhudia kioja cha karne baada ya kijana mmoja aliyekuwa ameiba ng’ombe wa mjane kuanza kutoa sauti za ajabu na…
Kulitokea vurugu kubwa katika soko la Kariakoosiku ya Alhamisi, baada ya mwanamke mmoja aliyekuwa ameficha rundo la nguo za gharama kwenye chupi yake (undergarments)…
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, akiwa ameambatana na Kamishna wa Fedha na Lojistiki CP Liberatus Sabas pamoja na maafisa wengine…
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Februari 11,…
Na OWM–TAMISEMI, Njombe Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) inaendelea kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais…
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Selemani Kakoso ameipongeza Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini…
Dar es Salaam, Tanzania, 10 Februari 2025: Samsung Electronics East Africa imezindua rasmi maduka mawili mapya ya chapa ya Samsung katika maeneo ya Kunduchi…
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua na kukabidhi miundombinu 21 ya utalii yenye thamani ya Shillingi billioni 114.62. Amesema ujenzi wa Miradi hiyo ambayo…
Na WAF – Dar es Salaam Imeelezwa kuwa tafiti ni nguzo kuu katika kuimarisha maandalizi na uwezo wa kukabiliana na magonjwa ya milipuko nchini…
Dodoma, Februari 11, 2026 Wataalamu kutoka Idara ya Misitu Zanzibar wamewasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)…
DAR ES SALAAM: TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari…
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe…
Katibu Mkuu wa Women Political Leaders (WPL), Neema Lugangira, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Claver Gatete, Katibu Mtendaji wa Tume ya Umoja wa…
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Toba Alnason Nguvila akizungumza katika halfa hiyo jijini Arusha leo ………… Na Happy Lazaro, Arusha . Katibu…