RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI ETHIOPIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ye Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kuharakisha utekelezaji wa mipango ya ushirikishaji wa ubia kati ya Sekta binafsi na…
*Akagua utoaji huduma ya afya katika Hospitali ya Shifaa(Pan Afrikan Hospital Limited) Hospitali binafsi. *Atinga Tandale akagua ujenzi wa shule ya ghorofa ya Sekondari…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar…
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ipo pamoja na vijana katika kubuni mbinu mbalimbali ili kuzifikia fursa za ajira nchini Mkurugenzi wa Maendeleo Idara…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari ametoa wito kwa wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kupata huduma za…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akizungumza wakati wa kuahirisha Kliniki Maalum ya Maombi ya Hati iliyoanza januari…
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa kupooza umeme uliopo Mkata mkoani Tanga ambao chenye uwezo wa…
Na Mwandishi wetu, Mirerani WACHIMBAJI wa madini ya Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameiomba serikali kuruhusu lango la kuingia na…
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumubya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Mh. Dkt. Johanes Lukumay ametoa pongezi kwa uongozi wa TMDA kufuatia kazi…
*Uzalishaji wa asali waruka mara tatu kwa miaka mitatu Manyoni — Mkurugenzi wa Idara ya Misitu Zanzibar, Said Juma Ali, ameipongeza Wakala wa Huduma…
Zanzibar, Tanzania, 11 Februari 2026: Benki ya Exim Tanzania imedhihirisha tena dhamira yake ya muda mrefu katika kuchochea ukuaji na ustawi wa sekta ya…
Na. OWM – KAM (Dodoma) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, Februari 12, 2026 amefanya…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motsepe, amewasili rasmi nchini Tanzania asubuhi ya leo kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano…
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Dkt. Amon Mkoga, ametembelea Hospitali ya Wilaya ya Kwimba kwa lengo la kusikiliza kero za wananchi…
Isaya ni kijana mwenye umri wa miaka 30 kutoka jiji la Mwanza, aliyekuwa na ndoto kubwa ya kufanikiwa katika biashara. Tangu akiwa mdogo, aliamini…
Kijana mmoja aitwaye Allan, mwenye umri wa miaka 26 kutoka Tanga, alikuwa amezoea maisha ya kawaida sana. Alifanya kazi ya muda katika duka la…
Na Mwandishi Wetu, Ngorongoro. Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Bw. Abdul-Razaq Badru ameongoza kikao cha kimkakati kilichojumuisha…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wanataaluma ya Menejimenti ya Taarifa,…
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Florent Kyombo…
……. Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewahamasisha Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki fursa za zabuni za serikali kupitia mfumo wa NeST,…
Wananchi wa Halmashauri ya Mji Ifakara wameendelea kunufaika na Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya…
Februari 12,2026 Na Mwamvua Mwinyi-Pwani WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka Taasisi za udhibiti za Serikali kuweka kipaumbele katika kulinda viwanda vya ndani na…
Na Saidi Saidi WMJJWM – Arusha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mkakati wa Kitaifa wa…
Manyoni, Singida, Februari 12, 2026 — Ziara ya mafunzo ya wataalamu wa Idara ya Misitu Zanzibar imeingia siku ya pili leo kwa ujumbe huo…
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Mkoa wa Mwanza, Mohamed Lukonge, akizungumza na wajumbe wa kikao cha kawaida cha jumuiya hiyo (hawapo pichani),…
Katika msimu huu wa sikukuu ya wapendanao (Valentine Day) hauna haja ya kwenda porini kuhangaika kutafuta mchawi wa kukusaidia kustawisha penzi lako kama liko…
Naibu Katibu Mkuu Huduma za Hazina Wizara ya Fedha, Bw. Nsubili Joshua, akitoa rai kwa Wakuu wa Idara na Vitengo Fungu 50 Wizara ya…
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba amesema, Serikali imetoa vitabu vya masomo ya Elimu ya Amali bure kwa shule zote…
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi, Dkt. Charles Msonde ameitaka Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) kuendelea kuimarisha uwajibikaji, matumizi…
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH) imeendelea kuandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano na Shirika la…