Isaya ni kijana mwenye umri wa miaka 30 kutoka jiji la Mwanza, aliyekuwa na ndoto kubwa ya kufanikiwa katika biashara. Tangu akiwa mdogo, aliamini kuwa biashara ndiyo njia pekee ya kubadilisha maisha yake na kusaidia familia yake. Akiwa na juhudi na matumaini makubwa, Isaya alijaribu kuanzisha biashara mbalimbali zikiwemo biashara ya duka dogo, uuzaji wa nguo, biashara ya samaki, na hata huduma za usafirishaji wa bodaboda. Hata hivyo, jambo la kushangaza ni kwamba karibu kila biashara aliyofungua ilikuwa ikidumu kwa muda mfupi kabla ya kufa kabisa….. SOMA ZAIDIĀ
MAUZO YALIANZA KUNONGEZEKA WATEJA WAKAWA WA KUDUMU
By fullshangwe
February 13, 2026 | 4:40 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
4 hours ago
VETA YATUNUKU VYETI VYA UJUZI KWA WAFUNGWA 481
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetunuku vyeti vya Urasimishaji Ujuzi kwa wafungwa 481 waliokidhi vigezo pitia programu ya Mama Samia…
Mchanganyiko
14 hours ago
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 25 WA BARAZA LA MAWAZIRI IORA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 25 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi zilizopo Mwambao wa Bahari ya Hindi (Indian…