Kulitokea vurugu kubwa katika soko la Kariakoosiku ya Alhamisi, baada ya mwanamke mmoja aliyekuwa ameficha rundo la nguo za gharama kwenye chupi yake (undergarments) kupatwa na upofu wa ghafla akiwa anajaribu kutoroka duka la nguo. Mwanamke huyo alianza kupiga kelele, “Nisaidieni! Naona giza! Mbona kumekuwa usiku sasa hivi?” wakati jua lilikuwa likiwaka kali.., SOMA ZAIDI