Wakaazi wa kijiji cha Chuka walishuhudia kioja cha karne baada ya kijana mmoja aliyekuwa ameiba ng’ombe wa mjane kuanza kutoa sauti za ajabu na kumea pembe kichwani. Mwizi huyo, ambaye alikuwa ameshaanza kuuza nyama ya ng’ombe huyo sokoni, alijikuta akishindwa kuongea lugha ya binadamu na badala yake kuanza kuugua “Moooo!” huku akila nyasi pembeni ya barabara. ….. SOMA ZAIDI
KIOJA! MWIZI WA NG’OMBE AGEUKA KUWA NG’OMBE MWENYEWE AUNGURUMA MOOO. HADHARANI
By fullshangwe
February 12, 2026 | 1:58 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
4 hours ago
VETA YATUNUKU VYETI VYA UJUZI KWA WAFUNGWA 481
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetunuku vyeti vya Urasimishaji Ujuzi kwa wafungwa 481 waliokidhi vigezo pitia programu ya Mama Samia…
Mchanganyiko
14 hours ago
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 25 WA BARAZA LA MAWAZIRI IORA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 25 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi zilizopo Mwambao wa Bahari ya Hindi (Indian…