RAIS SAMIA AANDAA IFTAR KWA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwamiminia uji wanafunzi wa Assalaf Islamic Seminary kutoka Ummu Aisha Orphanage Centre,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwamiminia uji wanafunzi wa Assalaf Islamic Seminary kutoka Ummu Aisha Orphanage Centre,…
*Ataka fedha zitafutwe kujenga barabara ya Katesh – Babati *Akataza watendaji kuchukua bidhaa za wajasiriamali wadogo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya…
Geneva, 27 Februari 2026 Katibu Mkuu wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization – WMO) Prof. Celeste Saulo ameahidi kuendelea kushirikiana…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati alipokutana na Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, wakati…
Na Ashrack Miraji,Fullshangwe Media Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Enock Koola, amekutana na maimamu wa misikiti 57 iliyopo ndani ya jimbo hilo na kufanya…
Na Silivia Amandius Kagera. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema zaidi ya shilingi bilioni…
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Serikali kuandaa jedwali la kuonesha namna walivyotatua kero za wananchi katika kila wiki ya mwisho wa…
Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Katiba wa Ghana Dominic Akuritinga Ayine akipokea Tuzo kwa niaba ya Rais John Mahama wa Ghana Kanali Chris Magezi,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akipanda mti katika eneo la Chuo cha Mamlaka ya Elimu…
Nilikuwa mtu wa kupigiwa mfano. Nilikuwa na kazi ya kudumu, mshahara mzuri, na nyumba yangu mwenyewe. Nilihama kutoka kupanga hadi kumiliki ndani ya miaka…
Maisha ya hapa Mwanza ‘Rock City’ yalinigeuka kuwa chungu baada ya biashara yangu ya maduka ya nguo kuporomoka ghafla. Jina langu ni Kelvin, na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Keep a Child Alive, Antonio Ruiz-Giménez Jr.…
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeendelea kutekeleza azma ya Serikali ya kuinua sekta ya michezo nchini kwa kuhakikisha linawezesha timu za taifa na…
Mjua kwao hapotei njia, na mwenda pole hajikwai, unaweza ukafikiri utani kumbe inaelekea ni hivyo wale wote wanaopambana Kariakoo, Gaza, Teheran na kwingineko inaaminika…
– Wachimbaji Waanzisha Mfuko wa Ukarabati wa Mazingira – Wakusanya Shilingi Bilioni 2.6 kwa Miaka Miwili 📍Same SHUGHULI za uchimbaji wa madini…
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Prof. Mohamed Janabi amezindua wodi ya kwanza na ya kisasa nchini kwa ajili ya watoto njiti, iliyojengwa…
Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania kwa kushirikiana na Televisheni ya Taifa ya Iran, umetangaza kifo cha Ayatollah Ali Khamenei, Kiongozi…
NIRC Iringa Waziri wa Wizara ya Kilimo, Daniel Chongolo, amesisitiza ulazima wa kulindwa kwa Mradi wa Umwagiliaji Mkombozi uliopo Pawaga mkoani Iringa, akieleza kuwa…
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 28, 2026 ameshiriki mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Marehemu…
Mtwara Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Serikali imewekeza zaidi ya sh. trilioni moja katika utekelezaji wa miradi ya gesi asilia mkoani Mtwara…
Na Silivia Amandius Kyerwa, Kagera. Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, Zaituni Msofe, amekabidhi rasmi nyumba kwa familia ya Ndg. Jenifer Richard, mkazi wa Kakerere,…
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Peter Nicholaus Masindi, amesema kulipa kodi ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa kwani kupitia Kodi…
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.…
Msimu wa tatu wa Bunge Marathon umezinduliwa leo jijini Dar es Salaam ambapo mwaka huu mbio hizo zinatarajiwa kufanyika tarehe 18 Aprili 2026 Jijini…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia…
Na. OWM – KAM (Rukwa) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu ametoa siku saba kwa…
NA DENIS MLOWE IRINGA JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini imeanza ukurasa mpya wa kujitegemea kiuchumi baada ya…
Mwenyekiti wa Chama cha msingi cha Ushirika Liyombo kilichopo kijiji cha Liyombo Halmashauri ya Wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma Joseph Mbele aliyevaa koti jeupe,akimuongoza Afisa…
Na Festo Polea DAR ES SALAAM: TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,…
Zaidi ya shilingi Milioni miatatu zimetumika kununua vifaa tiba na vifaa vya elimu ikiwemo madawati zaidi ya elf Tatu pamoja na computer ,katika shule…
*Ni kuelekea asilimia 80 ya Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034 Morogoro Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuhamasisha matumizi ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za…
Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Iddi Seif Bakari amewakaribisha wamiliki wa viwanda nchini Uturuki kufanya ziara nchini kujionea fursa zilizopo kwenye sekta ya…
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Viongozi na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Iftari aliyowaandalia iliyofanyika katika…