RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA KATIBU MKUU WA EAC ANAYEMALIZA MUDA WAKE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda…
……….. WATUMISHI wote wa idara ya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wamepatiwa mafunzo ya matumizi sahihi na salama ya gesi…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 27,2026 ameandaa Iftar maalum kwa wakazi wa Mkoa huo hafla ambayo imefanyika…
Simiyu Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza majiko banifu 6,236 katika Wilaya tano za Mkoa wa Simiyu, ikiwa ni mwendelezo wa utekelezaji wa…
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kumsimamia kikamilifu Mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Festo Dugange akiwa katika ziara ya kukagua uzalishaji wa vifungashio kwenye kiwanda cha…
Mwaka 1976, Mtafiti wa masuala ya Akiolojia Dr. Mary Leakey aligundua nyayo za zamadamu eneo la Laetoli zilizohifadhika katika mwamba wa jivu la volcano…
Kuna maumivu yanayokupiga kama radi ya ghafla. Hakuna onyo. Hakuna maandalizi. Ni pigo la moyo linalokufanya ujiulize kama kila kitu kilikuwa uongo. Hivyo ndivyo…
GENEVA – Wakati mwenendo wa hali ya haki za binadamu katika baadhi ya mataifa duniani ukitajwa kuwa mbaya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemwagiwa…
Naitwa Ester, mwanamke ambaye tangu nikiwa mdogo nilijulikana kwa urembo wangu wa asili na tabia njema. Lakini kadiri miaka ilivyokuwa ikisogea, niligundua kuwa urembo…
KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dkt. Jim Yonazi ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Usimamizi wa…
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) upo katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi atakayejenga barabara ya Morogoro –…
Na Mwandishi wetu– WAF, Dar es Salaam. Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendela kuchukua tahadhari na kufuatilia ushauri wa kitaalam ili kujikinga dhidi ya magonjwa…
……………….. Na Happy Lazaro, Arusha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,amefunga rasmi mkutano wa Nne wa Kamisheni ya Kudumu ya Ushirikiano baina…
Pongezi hizo zimetolewa katika taarifa ya Kamishna wa Baraza la Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk wakati wakutoa taarifa inayoangazia maeneo…
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar (kushoto) akiwa na Mwandishi wa vitabu vya Anatomia kutoka MUHAS,…
*Ni baada ya kueleza kero yake kwa Waziri Mkuu JITIHADA za Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kusikiliza kero za wananchi zimezaa matunda ambapo mkazi…
Na Mwandishi wetu– WAF, Dar es Salaam. Wizara ya Afya imewataka wananchi kuendela kuchukua tahadhari na kufuatilia ushauri wa kitaalam ili kujikinga dhidi ya…
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, akizungumza Februari 27, 2026 jijini Dodoma wakati akizindua Vikundi Kazi…
*DC atoa siku tatu watoto wa bweni warejeshwe makwao ZIARA ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba jijini Arusha imewazindua watendaji na kujikuta wakibaini ujenzi…
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media TIMU ya Wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, imefanya ziara ya kujifunza na kupata uzoefu kuhusiana na…
Waziri wa NChi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akizungumza na wananchi wa Kata ya Muze Kijiji cha Kizungu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo…
JITIHADA za Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kusikiliza kero za wananchi zimezaa matunda ambapo mkazi wa Kata ya Baraa jijini Arusha, Bi. Agnes Simon…
Ripoti mpya ya kimataifa imeitaja Tanzania kushika nafasi ya tano duniani kwa kuwa kizazi cha vijana ambao hawajaathiriwa na changamoto ya afya ya akili,…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema kuwa wizara haitavumilia viongozi na watendaji wasiofanya kazi huku wananchi wakikosa huduma…
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Reuben Kwagilwa (kushoto) akisalimiana na Meneja mwandamizi wa biashara za…
Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro jana tarehe 26 Februari 2026 limepokea ugeni mzito uliongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Tanzania,…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MBUNGE wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ametoa onyo kali kwa mgambo wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kufuatia…
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kulia), akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Balozi wa Qatar nchini, Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, na baadae…
Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo Februari 27, 2026 MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Pwani inakuja na utaratibu mpya kwa wafanyabiashara wa mafuta katika Bandari ya…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua katika kaburi la Nduna Songea Mbano, ambaye…
Na OWM – TAMISEMI, Colombia Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema ili mageuzi ya uchumi wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Profesa…