Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Profesa Mohamed Y. Janabi, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

RAIS SAMIA ATETA NA MKUU WA WHO KANDA YA AFRIKA PROF. MOHAMMED JANABI
