KUNENGE: VIONGOZI PWANI KUWA BUNIFU KUENDANA NA KASI YA UCHUMI WA DUNIA
Mwamvua Mwinyi,Mafia Februari 26,2026 MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa rai kwa viongozi kuwa wabunifu ili kuendana na kasi ya uchumi wa…
Mwamvua Mwinyi,Mafia Februari 26,2026 MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa rai kwa viongozi kuwa wabunifu ili kuendana na kasi ya uchumi wa…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa salamu za rambirambi kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap,…
……… NA DENIS MLOWE, IRINGA MBUNGE wa jimbo la Kilolo, Dkt. Ritta Enespher Kabati ameomba shule shikizi ya Madizini kufunguliwa mapema ili kusaidia watoto…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa…
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga (katikati) pichani, baada ya kufunga msimu wa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala msimu wa 2025/2026…
Na John Bukuku, Fullshangwe Media Februari, 2026 Naibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Ilala amesema ofisi hiyo…
Naitwa Abubakar, mwanaume niliyepambana sana kimaisha na kufanikiwa kumiliki biashara zangu kadhaa hapa jijini Dar es Salaam. Lakini licha ya mafanikio yangu ya kifedha,…
Je, ni nini hufanyika pale mwanamke anapoamua kuacha kulia kimya na kuchukua hatua kwa busara? Hii ni simulizi ya Stella kutoka mjini Umoja ambaye…
📍Manyara MGODI wa Itracom Fertilizer Limited unaojihusisha na uchimbaji na uchakataji wa madini ya phosphate uliopo katika eneo la Vilima Vitatu, Wilayani Babati mkoani…
📌Lengo ni kupunguza foleni, usalama 📌Ni Maelekezo ya Rais Samia 📌Waziri Ulega aagiza manunuzi yaanze mara moja SERIKALI iko katika hatua za mwisho za…
Na Jackline Minja, WMJJWM, Kilimanjaro Serikali imesema itaendelea kuimarisha malezi ya watoto na utoaji wa mafunzo ya ustawi wa jamii kwa wananchi ili kupunguza…
Na Mwandishi wetu, Mirerani CHANGAMOTO ya kutokamilika kwa daraja la barabara ya Mirerani – Mbuguni eneo la mkuyuni mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro…
Hakuna kulala, ndivyo kauli ya Kamishna wa Uhifadhi Ngorongoro Bw. Abdul-Razaq Badru baada ya kufanya ziara ya kukagua ukarabati wa barabara ndani ya hifadhi…
Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club imelazimishwa sare ya bila kufungana na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwa…
Na Said Said WMJJWM, Dar Es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mkakati…
Na. OWM – KAM (Dar es salaam) Waajiri kutoka Sekta Binafsi wamefurahishwa na kuipongeza Serikali kupitia Ofisi ya Wazifri Mkuu – Kazi, Ajira na…
Rachel Kaduma Kaimu Mkurugenzi idara ya uendelezaji miji na vijiji- TAMISEMI amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa Green and Smart Cities unaendelea katika hatua…
Wananchi Wilayani Kwimba na maeneo jirani wameishukuru Doris Mollel Foundation kwa kuleta mabadiliko makubwa katika Wilaya ya Kwimba, Mwanza, baada ya kufadhili na kusimamia…
*Ahimiza Mshikamano katika kujenga Tanzania Imara Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu amesisitiza umuhimu…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amesisitiza juu ya umuhimu wa kutambua mabadiliko na mageuzi makubwa ya kiteknolojia kunakopelekea ongezeko la matumizi…
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya ABC Group Mohammed Shareef wakisaini mkataba…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans Sports Club, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo…
Mwandishi wa vitabu vitano vya anatomia vinavyoendana na mtaala wa sasa ya Udaktari Profesa wa Anatomia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange amewasili leo Februari 25, 2026 katika Uwanja wa Ndege wa…
Mufti wa Tanzaania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ali Mbwana, akizungumza kwenye uzinduzi wa Kanzidata ya Madrasa nchini, leo.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda,…
Na Mwandishi Maalum,Ruvuma, MAKAMU wa Rais Dkt Emanuel Nchimbi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwa kilele cha kumbukizi ya miaka 120 ya mashujaa wa vita…
■ Ni utekelezaji wa maagizo ya Mh Rais Samia kurudisha heshima ya Tanzanite ■ Mkutano wa wawekezaji na wafanyabiashara wa madini baina ya Nchi…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) amewasili Mkoani Iringa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi na kupokelewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa…
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega, amekagua na kuridhishwa na Maendeleo ya matengenezo ya barabara ya Dodoma – Iringa eneo la Fufu ambalo lilikuwa likijaa…
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu…
Kamanda wa Polisi Mkoani Ruvuma SACP Marco Chillya,akionyesha uwezo wa kucheza mpira kabla ya kufungua mashindano ya Wailes Super Cup kwa shule za Sekondari…
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Dkt Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa eneo la Mahomanyika katika kata ya Nzuguni alipokwenda…
Na Hassan Kimweri, WAF – Morogoro Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ili…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Feb 25,2026 amekutana na Gavana wa Jimbo la Maniema-Congo DRC Mhe Mussa Kabwankubi…
TAKUKURU Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kudhibiti fedha kiasi cha Shilingi Millioni *85,006,000/=* fedha ambayo ni madai ya walimu wa shule za sekondari katika Halmashauri…