Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAKULIMA NCHINI WAASWA KUKATA BIMA YA MAZAO

Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt.Baghayo Saqware akizungumza kwenye Mkutano wa elimu ya bima na kupokea maoni kutoka kwa wadau wa Kanda ya Ziwa Jijini Mwanza Wadau wa bima kutoka Kanda ya ziwa wakifuatilia mada mbalimbali zilizotolewa kwenye Mkutano ikiwemo ya utaratibu wa fidia na malalamiko ya bima Meneja wa Kanda ya Ziwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Richard

John Bukuku By John Bukuku

MGODI WA MAGAMBAZI KUZALISHA KILO 25 ZA DHAHABU KWA MWEZI IFIKAPO AGOSTI 2024

Na Mwamvua Mwinyi.. *Unamilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100* *Utafiti umebaini uwepo wa mashapo ya dhahabu kiasi cha tani 21.7* Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayomiliki mgodi wa Magambazi imeanza shughuli za uzalishaji madini ya dhahabu ambapo kuanzia Agosti 2024 mgodi huo unatarajiwa kuzalisha kilo 25 za dhahabu kwa mwezi. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa PMM Tanzania Limited, Mhandisi

Alex Sonna By Alex Sonna

TAKUKURU DODOMA YAFUATILIA MIRADI 62 YENYE THAMANI ZAIDI YA SH.BILIONI 51

MKUU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU), Mkoa wa Dodoma,Bw.John Joseph wakati ,akitoa taarifa kwa  waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Aprili 18,2024  jijini Dodoma kuhusu taarifa ya miezi mitatu za kazi za Taasisi hiyo. MKUU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU), Mkoa wa Dodoma,Bw.John Joseph wakati ,akitoa taarifa kwa  waandishi wa habari (hawapo pichani) leo

Alex Sonna By Alex Sonna

JAMII YAKUMBUSHWA UMUHIMU WA MALEZI BORA YA FAMILIA

Na WMJJWM, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jonsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameiasa jamii kuona umuhimu wa malezi bora kwa watoto ndani ya familia kama chanzo cha jamii. Ametoa wosia huo Aprili 18, 2024 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa Habari ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Familia hapo Mei 15,

John Bukuku By John Bukuku

WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA)KANDA YA SONGEA YAWATAKA WAKULIMA KUFUATILIA MAENDELEO YA MAZAO YAO MASHAMBANI

 Meneja wa NFRA Kanda ya Songea Zenobius Kahere  akieleza utaratibu utakaotumika katika ununuzi wa zao la mahindi katika msimu wa kilimo 2024/2025. ........................  Na Mwandishi wetu Songea WAKULIMA wa mahindi mkoani Ruvuma,wamekumbushwa umuhimu wa kufuatilia maendeleo ya mazao  yao mashambani na kuhakikisha wanavuma mazao yaliyokomaa  ili waweze kupata soko la uhakika na  pindi msimu wa ununuzi utakapoanza mwezi Julai. Wito

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI MKUU NA BAADHI YA MAWAZIRI BUNGENI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais- Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete (wa pili kushoto), Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande (wa

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA ATUNUKIWA UDAKTARI WA HESHIMA NA CHUO KIKUU CHA ANKARA UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan atunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki, kutambua jitihada zake za kuendeleza mageuzi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi -4R. Katika picha chini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kiwete, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara