Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI AWESO AWAHAKIKISHIA USHIRIKIANO WATUMISHI WA SEKTA YA MAJI

Waziri Wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maji na kuwataka wahakikishe wanafanya kazi kwa upendo na ushirikiano ili kuleta mafanikio. Amesema Sekta ya Maji imepiga hatua kubwa kutokana na ushirikiano ambao umejengwa na kukuzwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Saluhu Hassan, ambaye amekuwa mstari wa mbele katikq kuhakikisha

John Bukuku By John Bukuku

MCHENGERWA: TUTAZIPIMA HALMASHAURI KWA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO

OR-TAMISEMI, Zanzibar Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kigezo cha ziada ya kuzipima Halmashauri zote nchini kuanzia mwaka wa fedha ujao ni kila Halmashauri kubuni vyanzo vipya vya mapato kuanzia viwili na kuendelea kwa kila mwaka wa fedha. Mhe.Mchengerwa ameyasema hayo wakati wa kufungua Mkutano wa 38 wa

John Bukuku By John Bukuku

BAJETI YA MATENGENEZO MIUNDOMBINU YA UMEME KUONGEZWA KILA MWAKA- MHE.KAPINGA

 *Shilingi Bilioni 109.8 zatumika mwaka 2023/2024 Naibu Waziri wa Nishati, Mhe, Judith Kapinga amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) itaendelea kuongeza bajeti kila mwaka ya matengenezo ya miundombinu ya umeme hadi changamoto ya kukatika umeme kutokana na uchakavu wa miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme itakapoisha kabisa. Naibu Waziri Kapinga ameeleza hayo tarehe 23 Aprili 2024 Bungeni

John Bukuku By John Bukuku

WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI

*Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE *Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma, Dodoma, Katavi na Lindi *Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo wadau wa Sekta ya Madini kutoka Kampuni ya Mineral Access System Limited(MAST) ikiwakilishwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Bw. Georgefrey Kente pamoja na Mwekezaji

John Bukuku By John Bukuku

DC SAME AISHUKURU WIZARA YA AFYA NA TAMISEMI KWA KURATIBU, UTOAJI CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI (HPV).

Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni ameishukuru Wizara ya Afya na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa kuratibu na kusimamia vema utoaji wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi (HPV) kwa mabinti ili kuwakinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha kansa hiyo. Ametoa shukrani hizo wakati akizundua Rasmi wiki

John Bukuku By John Bukuku

TAASISI YA HAKI ELIMU YAIOMBA SERIKALI KUTENGA BAJETI YA KUTOSHA 2024/2025

Na Sophia Kingimali. Taasisi ya Hakielimu nchini imetoa rai kwa serikali kutenga bajeti ya kutosha 2024/2025 katika sekta ya elimu ili kuwezesha kushabihisha bajeti hiyo na malengo ya Dira ya Taifa ya maendeleo katika elimu lakini pia kuanza kwa utekelezaji wa mitaala na sera mpya ya elimu ya mwaka 2023. Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 23,2024 Jijini Dar

John Bukuku By John Bukuku

TARURA RUKWA YABORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Ujenzi wa barabara ya Matai-Kisungamile yenye urefu wa Km. 1.5 inayojengwa kwa kiwango cha lami ambayo inaelekea hospitali ya Wilaya.Kukamilika kwa barabara hiyo itawasaidia wananchi kufika kwa urahisi kupata huduma za afya katika hospitali hiyo.  Muonekano wa barabara ya Malichewe yenye urefu wa Km. 1.2 katika wilaya ya Sumbawanga ambapo ujenzi wake umekamilika. ......................  Rukwa Wakala ya Barabara za Vijijini

John Bukuku By John Bukuku

WANAWAKE WALIOJIFUNGUA, WATOTO WAFIKISHIWA MAHITAJI MUHIMU KAMBI ZA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI

Katibu Tawala Mkoani Pwani, Rashid Mchatta (mwenye vazi la Skauti)akiwa na Bi. Roseline Kimaro (Mratibu wa Maafa Mkoa wa Pwani) wakipokea ugeni wa Bw. Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum ) na Dr. Bakari George  (Mkuu wa Chuo  cha Tengeru Institute of Community Development ).Ugeni huo umefanya

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara