Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

NACHINGWEA WATOA TUZO ZA ELIMU ILI KUINUA UFAULU.

HALMASHAURI ya wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi imetoa tuzo za elimu kwa shule za sekondari na msingi pamoja na wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani mbalimbali. Baada hivi karibuni kuonekana ufaulu umepungua katika wilaya ya Nachingwea hivyo uongozi umeandaa mikakati mingi mmoja wapo ni kutoka tuzo za kila mwaka za ufaulu ili kuongeza bidii na ufanisi bora kwa walimu pamoja na

John Bukuku By John Bukuku

MWANZA YAZINDUA KAMPENI ELIMU KWA UMMA MRADI WA UJENZI WA MINARA 758 MAWASILIANO

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA SERIKALI mkoani Mwanza kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), imezindua kampeni ya elimu kwa umma  kuhusu utekelezaji wa miradi ya mawasiliano inayolenga kufikisha huduma hiyo kwa wananchi waishio maeneo yaliyo mbali vijijini yasiyo na mvuto wa kibiashara kwa watoa huduma. Pia,imewataka wadau wanaotekeleza mradi wa ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini washirikiane na UCSAF kuhakikisha minara

John Bukuku By John Bukuku

WAKALA WA VIPIMO (WMA), YASHIRIKI MAONESHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

Afisa kutoka Wakala wa Vipimo Bi. Rehema Michael Mgode akitoa elimu kwa Mwananchi aliyetembelea banda la Wakala wa Vipimo katika maonesho ya miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. ......................... Wakala wa Vipimo (WMA) imeshiriki katika wiki ya maonesho ya miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya maonesho vya Mnazi Mmoja jijini Dar

John Bukuku By John Bukuku

TAASISI ZA UMMA IIGENI UCSAF MNAPOANDAA MIKUTANO YENU MWANZA

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA  SERIKALI mkoani Mwanza imefarijika viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),kukutanishwa na viongozi wa Serikali ngazi mbalimbali na kupata pamoja taarifa na takwimu za mawasiliano. Pia,imeziagiza taasisi mbalimbali za umma zijifunze kupitia  Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF),kushirikisha wadau zinapoandaa mikutano yao. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Hassan Masala, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa

John Bukuku By John Bukuku

ROMBO MPYA YA KUWEKEZA KWENYE ELIMU – DC MWANGALA

Na Mwandishi wetu, Rombo MKUU wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Raymond Mwangala amewataka wakazi wa eneo hilo kuwekeza kwenye elimu kwani mataifa mengi yameendelea kutokana na kuwekeza katika elimu. Mwangala akizungumza kwenye kikao cha tathmini ya elimu ya sekondari na kugawa zawadi kwa wanafunzi waliofaulu vyema kidato cha nne, shule zilizofaulisha na walimu wao amesema Rombo mpya ya maendeleo

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AMEFUNGUA KINGAMANO LA KITAIFA VLA WANAWAKE KUADHIMISHA MIA 60 YA MUUNGANO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasilimia Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  walipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kulifungua Kongamano la Wanawake na Muungano lililofanyika leo 25-4-2024.(Picha na Ikulu) WASHIRIKI wa Kongamano la Wanawake na Muungano kuadhimisha

John Bukuku By John Bukuku

MAZRUI AWAHIMIZA WAJAWAZITO KUHUDHURIA KLINIKI

Na Fauzia Mussa. Maelezo.  Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui amewahimiza akina mama wajawazito kuhudhuria Kliniki mapema ili kupunguza vifo vya mama na mtoto. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika kikao kazi cha kujadili kuendeleza mpango wa kumlinda mama na mtoto (M-MAMA Zanzibar) katika Hotel ya Ocean View Kilimani Mjini Unguja. Amesema kuwa vifo vingi vinavyotokezea vya mama na

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara