Top Stories
View all
BONDIA MMAREKANI TERENCE “BUD” CRAWFORD AFURAHIA MAPOKEZI TANZANIA, AJIANDAA KUTEMBELEA SERENGETI NA ZANZIBAR
Bondia wa kimataifa wa Marekani Terence “Bud” Crawford amesifu ukarimu wa Watanzania tangu alipowasili nchini Mei 24, 2026, kwa ziara ya kitalii. Bondia huyo…
NMB YAIMARISHA UBIA NA SMZ KUSUKUMA UKUAJI ENDELEVU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea zawadi maalum kutoka kwa Meneja wa Biashara Zanzibar wa…
HALMASHAURI YA MJI RUFIJI KUTOA TUZO KWA KATA ZITAKAZOFANYA VIZURI KIMAENDELEO 2026/2027
Na Mwamvua Mwinyi-Rufiji Mei 24,2026 Halmashauri ya Mji Rufiji kuanzisha mfumo wa utoaji tuzo kwa kata zitakazofanya vizuri katika usimamizi wa shughuli za maendeleo…
MHE BALOZI OMAR KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA NCHINI CONGO BRAZAVILLE
Na Benny Mwaipaja, Congo, Brazaville Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasili nchini Congo, Brazzaville, amabako atashiriki Mkutano Mkuu wa 61…
SIMBA SC YAREJESHA MATUMAINI YA UBINGWA LIGI KUU NBC
Wekundu wa Msimbazi Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara…
KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA SHIRIKI KUFANYA USAFI STENDI YA KABWE JIJINI MBEYA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kushoto) akiongoza zoezi la Usafi wa Mazingira katika kituo cha daladala na bajaji (Stendi…
MASOKO RASMI YA MADINI, BEI ELEKEZI YAPUNGUZA UTOROSHAJI RUVUMA
📍Ruvuma Uanzishwaji wa masoko rasmi ya madini pamoja na matumizi ya mfumo wa bei elekezi mkoani Ruvuma, umetajwa kupunguza kwa kiasi kikubwa vitendo vya…
MSAJILI WA HAZINA YATOA WITO WA UTAWALA BORA KUIMARISHA UWEKEZAJI WA UMMA
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Msajili wa Hazina, Chacha Marigiri, akiwasilisha mada kuhusu ‘Utawala bora katika mashirika ya Umma na…
WAZIRI MKUU: MIRADI YA BARABARA NI UFUNGUO WA UCHUMI WA WANANCHI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa…
X NA HISENSE KUWAPELEKA WATANZANIA FIFA WORLD CUP 2026
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx, Bi. Angelica Pesha, akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya “Jimixx FIFA World Cup 2026 na Hisense” iliyofanyika…
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UZALISHAJI WA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI
Na Mwandishi, Morogoro Serikali imeendelea kutekeleza mikakati iliyoanishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kupitia uwekezaji wa Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi kinachomilikiwa…
WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA KIMAADILI NA USHIRIKIANO WA KIJAMII
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema jamii inapaswa kurejea katika misingi ya malezi ya pamoja na uwajibikaji wa kijamii ili kujenga kizazi chenye maadili,…
UPATIKANAJI UMEME KUENDELEA KUIMARIKA MKOANI IRINGA— MHE. SALOME
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema Serikali inaendelea kufanya jitihada mbalimbali ili kuimarisha upatikanaji wa umeme katika Mkoa wa Iringa. Amesema tangu…
NILIVYOPATA SCHOLARSHIP YA KUSOMA NJE BAADA YA KUKATALIWA MARA NYINGI NA KUAMBIWA SINA CONNECTIONS
Ndoto yangu kubwa tangu nikiwa mdogo ilikuwa kusoma nje ya nchi. Nilikuwa naamini elimu ingeweza kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu. Kila mara…
NILIVYOSHINDA KITI CHA UONGOZI BAADA YA WATU WENGI KUNIAMBIA SINA USHAWISHI WA KISIASA NA SITAFIKA POPOTE
Kuingia kwenye uongozi haikuwa jambo ambalo watu wengi walitarajia kutoka kwangu. Kwa miaka mingi nilikuwa mtu wa kawaida kwenye jamii yetu. Nilipenda kusaidia watu…
RC CHALAMILA VIWANGO MARATHON NJIA MADHUBUTI YA KUFIKISHA ELIMU KWA UMMA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amefurahishwa na kupongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuandaa Viwango Marathon kama sehemu…
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE TAMISEMI YATEMBELEA MIRADI YA BIL 4.5 KINONDONI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Florentino Kyombo, imetembelea na kukagua miradi ya…
WAKULIMA 23184 JIMBO LA SAME MASHARIKI KUNUFAIKA NA MRADI WA BILIONI 44.15
📍SAME. ZAIDI ya Wakulima 23184 katika skimu za umwagiliaji za Ndungu, Ndungu fidia, Kalemane na Vumba jimbo la Same mashariki wilayani Same mkoani Kilimanjaro…
TANZANIA NA MAREKANI ZAENDELEZA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI KATIKA SEKTA MUHIMU
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Ellen Maduhu, amefanya mazungumzo…
DCEA YATEKETEZA KILO 504 ZA HEROIN MTWARA, MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA YANAENDELEA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza kilogramu 504.36 za dawa za kulevya aina ya heroin katika kiwanda cha saruji…
MKURUGENZI MKUU VETA AWATAKA WAKUFUNZI 25 WALIOPO NCHINI FINLAND KUWA CHACHU YA MABAILIKO
Mkurugenzi Mkuu wa VETA CPA Anthony Kasore amefanya ziara katika chuo cha REDUEdu kilichopo Rovaniemi nchini Finland ili kujionea maendeleo ya wakufunzi 25 wanaopata…
WAZIRI MKUU AVITAKA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUWA MACHO DHIDI YA WAVUNJA AMANI
*Aonya dhidi ya vitendo vya uchochezi, kujiteka na propaganda zinazolenga kuwagombanisha Watanzania *Asema Serikali imejikita kusikiliza wananchi na kutatua kero zao badala ya mijadala…
WAZIRI MKUU AAGIZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO IRINGA
*Aagiza viongozi kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa wakati *Apiga marufuku kushikiliwa kwa vitendea kazi vya wananchi kwa makosa madogo *Asema Serikali itaendelea…
MKURUGENZI WA RASILIMALI WATU TANESCO AWAHAKIKISHIA USHIRIKIANO MAAFISA HUDUMA KWA WATEJA KUBORESHA UTENDAJI
* Afunga Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa hao * Awapongeza kwa utendaji bora wenye kujenga taswira chanya ya Serikali na Shirika kwa wananchi…
TARURA YAWAIMARISHA MAAFISA UNUNUZI KUDHIBITI HOJA ZA UKAGUZI
Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imewahimiza Maafisa Ununuzi kuzingatia kikamilifu sheria, kanuni na taratibu za ununuzi ili kudhibiti upotevu wa…
ELIMU UGONJWA WA EBOLA YATOLEWA FUNGUNI SEKONDARI
NA: MWANDISHI WETU, PANGANI Walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Funguni ya wilayani Pangani mkoani Tanga wamenufaika na elimu kuhusiana na ugonjwa wa…
DKT. NCHEMBA: BARABARA YA MCHEPUO IRINGA KUCHOCHEA UCHUMI
📌Asema mradi huo utafungua fursa mpya za uchumi na kupunguza msongamano wa magari mjini Iringa 📌Aagiza malipo ya vibarua yafanyike kwa wakati Waziri Mkuu,…
BALOZI TOGOLANI EDRISS MAVURA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO UMOJA WA MATAIFA
Balozi Togolani Edriss Mavura awasilisha Hati za Utambulisho kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, aanza rasmi majukumu yake kama Mwakilishi wa Kudumu wa…
WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MCHEPUO YA MJI WA IRINGA
*Asema mradi huo utafungua fursa mpya za uchumi na kupunguza msongamano wa magari mjini Iringa *Aagiza wakandarasi kuwalipa kwa wakati wadaiwa wao WAZIRI MKUU,…
TFS YATOA VIFAA VYA TEHAMA KWA SHULE YA JUHUDI JESHINI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Mashariki imetoa msaada wa vifaa vya TEHAMA vyenye thamani…
RAIS WA SENEGAL AMFUTA KAZI WAZIRI MKUU NA KUVUNJA SERIKALI
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye amemfuta kazi Waziri Mkuu Ousmane Sonko na kuvunja rasmi serikali yote kufuatia mvutano wa muda mrefu uliokuwa ukiendelea…
WANANCHI WATAKIWA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA EBOLA
22 May 2026, Ingawa Tanzania hakujatolewa taarifa yoyote ya ugonjwa huo ila ni vema jamii kwa ujumla kupata elimu ya namna ya kujikinga.Picha na…
MAKONDA: TUTAZIFANYA MBIO ZA SIKU YA AFRIKA KUWA ZA KIMATAIFA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, amesema Serikali inafikiria kuzifanya Mbio za Siku ya Afrika kuwa za Kimataifa ili kufanikisha…
RIDHIWANI KIKWETE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA BAJETI YA EAC
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, leo Mei 22, 2026 jijini Arusha…