LUGOLA AAGIZA POLISI KUWAKAMATA WATIA MIMBA WANAFUNZI, WAZAZI WANAOWATUMIA WANAFUNZI SHUGHULI ZA KILIMO, UFUGAJI
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Karukekere, Jimboni kwake Mwibara, Wilayani Bunda, leo. Lugola aliwataka wanafunzi…