Home Mchanganyiko WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA (BOT) KATIKA MAONESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA (BOT) KATIKA MAONESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA

0

Mkaguzi wa Mabenki, Bw. Gwamaka Charles kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha akitoa elimu kwa wanafunzi waliotembelea banda la BoT Sabasaba.

Mkemia Mkuu wa Serekali, Dkt. Fidelice Mafumiko (wa pili kutoka kushoto) akipewa elimu ya alama za usalama za noti zetu na Afisa mwandamizi wa benki Bi.Restituta Minja kutoka kurugenzi ya huduma za kibenki

Mchumi, Bw. Mosses Mwizarubi kutoka Kurugenzi ya Utafiti na Sera za Uchumi akitoa elimu kwa wananchi

Wananchi wakiangalia alama za usalama za noti zetu walipotembelea banda la BoT kwenye maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam.

Mchambuzi wa masuala ya kifedha, Bi. Laila Kisombe kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea banda la BoT Sabasaba

Afisa Uhusiano wa Umma, Bi. Beatrice Ollotu akiwahudumia wateja waliofika katika banda la BoT kwenye Maonesho ya Sabasaba, Dar es Salaam.