Mchanganyiko
4 years ago
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Songea mkoani Ruvuma Neema Maghembe, akizungumzia juu ya ujenzi wa miundombinu ya elimu hususani bweni la wanafunzi wa shule za Sekondari Mpitimbi kata ya Mpitimbi ambapo Serikali imetumia kiasi cha Shilingi milioni 80 kumaliza tatizo la malazi kwa wanafunzi wa kike wa shule hiyo. Bweni jipya lililojengwa na Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya Songea mkoani Ruvuma likiwa limekamilika na kuanza kutumika na wanafunzi wa kike wa shule ya Sekondari ya Mpitimbi ambalo limegharimu Sh.milioni 80 ikiwa ni jitihada za Serikali ya awamu ya sita ya kuboresha na kuimarisha miundombinu ya elimu kwa shule mbalimbali hapa nchini. Baadhi ya walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Mpitimbi wakiwa katika picha ya pamoja. moja kati ya…