SERIKALI YAZINDUA KITUO CHA OPARESHENI YA MATUKIO YA MLIPUKO NA DHARURA.
Na Englibert Kayombo – WAF Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Afya imefungua Kituo maalum cha oparesheni ya matukio ya mlipuko na dharura…
Na Englibert Kayombo – WAF Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Afya imefungua Kituo maalum cha oparesheni ya matukio ya mlipuko na dharura…
**************** Wahitimu wa Shahada za awali,Stashahada na Astashahada katika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wametakiwa kwenda kutafuta fursa badala ya kusubiri fursa ziwafuate…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Bahati Geuzye (kulia) akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa darasa la saba katika mahafali ya…
NAIBU Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende,akizungumza wakati akizindua Baraza la kwanza la wafanyakazi wa OWMS kwa mwaka wa fedha 2022/23 lililofanyika leo…
Na Irene Mark KAMPUNI ya Bima ya Assemble ikishirikiana na Wakala wa Bima Fortis, wamezindua huduma ya bima ya moto kwa wajasiriamali wa dogo…
************************* Na Mwandishi wetu, Babati JAMII katika Kijiji cha Luxmanda Kata ya Secheda Halmashauri ya wilaya ya Babati Mkoani Manyara wametakiwa kutambuwa wajibu wao…
********************** Na Mwandishi Wetu MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Sinach Joseph Egbu anatarajia kuongoza jukwaa la Festival of Praise linalotarajia kufanyika…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango leo tarehe 13 Oktoba 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba…
Serikali Kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema itaendelea kutumia teknolojia ya kufuatilia mienendo ya wanyamapori katika maeneo ya hifadhi kwa kuwa imesaidia kwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akiongoza kikao cha Kundi la Kwanza la Kanda ya Afrika (Africa Group…
********************’ Vyama vya kisiasa na asasi za kiraia vimetakiwa kuwaelewesha vizuri wanachama wao kuhusiana na dhana nzima ya bima ya afya kwa wote. Hayo…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (katikati) akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nakalonji…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makabidhiano wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Christopher Kadio (Kushoto) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Maduhu Kazi…
******************* Na Silvia Mchuruza, Bukoba, Kagera. Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan ameziagiza halmashauri zote za mkoa wa kagera kuhakikisha…
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa anaetarajia kufanya ziara Mkoani Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima (kulia) akizungumza…
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji – Zanzibar, Dkt, Islam Seif Salim akizungumza na viongozi wa Menejimeniti ya OSHA Pamoja na…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akifungua kikao cha Ofisi ya Makamu wa Rais na Washirika wa Maendeleo kilichofanyika leo…
Mratibu wa Tamasha la Michezo na Utamaduni la Watoto, Bi.Akanashe Mwanga akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 13, 2022 kuelekea siku ya Tamasha…
Na. Asila Twaha, Tanga Katika Mashindano ya Michezo ya Shirikisho ya Wizara, Idara za Serikali na Mikoa( SHIMIWI) yanayoendelea Tanga katika mchezo drafti umeipa…
Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Sivangilwa Mwangesi,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Maadili yaliyotolewa kwa Viongozi mbalimbali wa Umma yalifanyika leo Oktoba 13,2022 Jijini Dar…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo…
Mawaziri wa Wizara za Kisekta wakipata maelezo ya uvamizi wa eneo la hifadhi la mito miwili eneo la Kasekese kwa Mkuu wa Wilaya ya…
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Afya, Edward Mbaga akizungumza katika atika semina kwa wahariri na waandishi wa habari juu ya sheria ya…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanania TPA Bw. Plasduce M. Mbossa akufungua kikao kazi kati ya (TPA) na wahariri wa Vyombo vya habari…
Mkurugenzi wa Landesa Tanzania, Godfrey Massay akipekua baadhi ya taarifa za ardhi wakati wa mafunzo ya wanahabari na wadau wa ardhi yaliyofanyika mjini Morogoro…
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake namna ambavyo serikali kuu imetoa kiasi cha shilingi…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Wakili Msomi Amon Mpanju akizungumza katika Kilele cha Kampeni maalum ya…
Na Lucas Raphael,Tabora Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora kwa mara ya kwanza imebatilisha hati ya Mashitaka na kuwahukumu kifungo cha miezi 12…
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bagamoyo,Alhaj Abdul Sharifu ameeleza wakati Taifa likikumbuka miaka 23 ya Baba wa Taifa ,muasisi Mwalimu…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisoma maandishi ya uzinduzi wa jengo la masijala…
Afisa elimu wa Mkoa wa Pwani Sara Mlaki akizungumza na washiriki wa warsha hiyo hawapo pichani iliyofanyika Wilayani Kibaha. Baadhi ya washiriki waliohudhulia katika…
Mganga mkuu wa mkoa, Dk.Silvia Mamkwe akizungumzia tahadhari za awali walizochukua katika kuweka utayari wa kukabiliana na ugonjwa wa Ebola . …………………………….. Julieth Laizer…
Mkurugenzi Msaidizi wa Usalama Mtandao wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Steven Wangwe akiwasilisha mada ya kuwajengea uelewa juu ya…