TANZANIA imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Uganda Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
SERENGETI BOYS YAICHAPA UGANDA KWA MATUTA CECAFA U17
By Alex Sonna
October 15, 2022 | 4:34 pm

Related Stories
View all
Michezo
26 minutes ago
RAIS SAMIA ATOA NDEGE YA KUWACHUKUA MASHUJAA SERENGETI BOYS WALIOFIKA FAINALI YA AFCON U-17
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa usafiri wa ndege kwa ajili ya kuwachukua mashujaa wa Timu ya…
Michezo
4 days ago
SERENGETI BOYS YATIKISA AFRIKA, YATINGA FAINALI YA AFCON U-17
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Vijana ya Tanzania, Serengeti Boys, imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika…
