Top Stories
View all
DKT. MOLLEL ATETA NA MAKAMU WA RAIS TAASISI YA HENRY JACKSON (HJFMRI)
Na WAF, Dar Es Salaam Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais na Mkuu…
KADCO YATAJA MIKAKATI YAKE YA KUONGEZA IDADI KUBWA YA ABIRIA UWANJA WA KIA
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji wa kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (KADCO) Christine Mwakatobe,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Utekelezaji wa…
MAHAFALI YA 52 YA UDSM DURU YA PILI KWA MINAJILI YA KUTUNUKU DIGRII ZA AWALI, STASHAHADA NA ASTASHAHADA
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof.William Anangisye akizungumza katika Mahafali ya Hamsini na Mbili Duru ya Pili kwa Minajili ya kutunuku…
KATIBU MKUU WA WIZARA YA ELIMU ATEMBELEA KIWANDA CHA UCHAPISHAJI CHA TET
********************* Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt.Francis Michael amefanya ziara katika kiwanda cha uchapaji cha Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)…
SBL KUGAWA MBOLEA BURE KWA WAKULIMA SONGWE
Kaimu Meneja wa Kampuni ya Mbolea Tanzania Kanjel Mloba akimpongea Mkurugenzi wa Kampuni ya Utengezaji Mbolea ya SBL kutoka Kenya Joe Kariuki katika maonyesho…
TANZANIA – ZAMBIA WAJADILI MASUALA YA USHIRIKIANO
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Zambia zinakutana jijini Lusaka, Zambia kujadili masuala ya ushirikiano yaliyokubaliwa baina ya nchi hizo…
SERIKALI YAPONGEZWA KUWEKA MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI NCHINI
Mhadhiri Mwandamizi idara ya Jografia na Uchumi, Mtaalamu wa Mazingira na Elimu ya Mazingira Dkt.Daniel Sabai akizungumza katika warsha ya wadau wa mradi wa…
TUTAENDELEA KUTOA KIPAUMBELE KWA WATOTO WA KIKE-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati akifungua mkutano wa Ngazi ya Juu wa Kuwezesha Vipaumbele vya Wanawake na Wasichana katika Mapambano dhidi ya Virusi…
BENKI YA DUNIA YAIDHINISHIA TANZANIA MKOPO NAFUU WA SHILINGI TRILIONI 5
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwa katika picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, anayesimamia Kanda…
MAMLAKA YA MAABRA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YATAJA VIPAUMBELE VYAKE KWA MWAKA 2022-2023.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk.Fidelice Mafumiko,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za Mamlaka hiyo na mwelekeo wa utekelezaji wa bajeti…
BALOZI FATMA AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA WATAALAM WA UMOJA WA AFRIKA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Fatma Rajab (kulia) akiwa katika mazungumzo na na Bi.…
NHC KUENDELEZA NYUMBA ZAKE ZILIZOCHAKAA
Na Mwandishi Wetu, SHIRIKA la Nyumba (NHC),linatarajia kuanza kubomoa nyumba zilizochakaa katika maeneo ya Kariakoo na Posta jijini Dar es Salaam pamoja na kuendeleza…
WADAU HAKI JINAI WAPATIWA MAFUNZO UENDESHAJI MASHAURI YA WANYAMAPORI
Na Angel Meela, Mahakama-Arusha Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania pamoja na Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha…
KINANA AZUNGUMZA NA BALOZI WA COMORO NCHINI TANZANIA.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.…
WATOTO ZAIDI YA 6,000 WAFIKIWA KUPITIA MRADI WA ELIMU KWA MTOTO WA KIKE-JUVENALIUS
************************** Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha WATOTO ZAIDI ya 6,000 katika Halmashauri 12 nchini wamefikiwa kupitia mradi wa ELIMU KWA MTOTO WA KIKE unaotekelezwa na Shirika…
WIZARA YA ELIMU YANG’ARA RIADHA KATIKA MICHUANO YA SHIMIWI
Na Oscar Assenga,TANGA TIMU ya Mchezo wa Riadhaa ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imeng’ara katika Mashindano ya Shimiwi yanayoendelea Jijini…
NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI KUTOHOFIA KUELEZA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO ILI ZITATULIWE KAMA MHE. RAIS ALIVYOELEKEZA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb) akizungumza na watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa…
SERIKALI YAITAKA JUMUIYA YA KIMATAIFA KUSAIDIA MCHAKATO WA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WA BURUNDI NCHINI KWAO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia…
NAIBU WAZIRI WA UWEKEZAJI NA BIASHARA AITAKA DAWASA KUPAMBANA NA WIMBI LA UPOTEVUWA MAJI
Meneja wa mawasiliano Dawasa wa kushoto Everlasting Lyaro akitoa maelekezo kwa Naibu wa uwekezaji na biashara Exavd Kigahe alipotembelea katika Banda la Dawasa. ………………………
UFUJAJI WA SH.MILIONI 365, MKURUGENZI, DC IRAMBA WATAKIWA KUJIUZULU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba. Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya…
DC KISWAGA VIJANA RUDINI SHAMBANI KUNALIPA
Mkuu wa wilaya ya Kahama Festo Kiswaga akiongea kwenye kipindi cha Morning Talk cha radio Ebony Fm juu ya kuwahimiza vijana kuchangamkia fursa…
DKT. TULIA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA KUNDI LA KANDA YA AFRIKA YA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU)
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Kundi la Mabunge ya Afrika katika Mkutano wa 145 wa Umoja wa…
MHE. JENISTA ATOA WITO KWA WAJASIRIAMALI MKOANI ARUSHA KUTUMIA KITUO JUMUISHI CHA URASIMISHAJI NA UENDELEZAJI WA BIASHARA ILI KUKUZA BIASHARA ZAO NA KUONGEZA PATO LA TAIFA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifurahi pamoja na Mkuu wa Wilaya ya…
DC MBONEKO AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI SEKONDARI MAZINGE
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko akipiga picha ya pamoja na wanafunzi wa kike Shule ya Sekondari Mazinge Manispaa ya Shinyanga mara…
BARAZA LA WAFANYAKAZI REA LAASWA KULETA MATOKEO CHANYA
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Elineema Mkumbo, akifungua rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Baraza la Wafanyazi,…
MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA NANE CHA KAMATI KUU YA SENSA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa akizungumza wakati alipofungua kikao cha kamati hiyo kwenye ukumbi wa…
SERIKALI INAFANYA JITIHADA KUHAKIKISHA VIWANDA VYA NGUO NCHINI VINAVYOAJIRI WATU WENGI
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Dkt Ashatu Kijaji amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha viwanda vya nguo nchini vinavyoajiri watu wengi…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AONDOKA NCHINI AKIELEKEA NCHINI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NNE NCHINI HUMO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimia na kuagana na Wazee wa…
PROF.BUCHWEISHAIJA:’TOENI USHIRIKIANO KWA VIONGOZI WAPYA’
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afrika cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela Profesa Joseph Buchweishaija akiongea na Menejimenti ya Chuo wakati…
UVCCM MOSHI VIJIJINI HAUTAMVUMILIA KIJANA YOYOTE ATAKAYEBEZA MAENDELEO YANAYOFANYWA NA RAIS SAMIA
Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini Yuvenal Shirima akizungumza na Waandishi wa habari. ……………………. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi…
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE
Tarehe 11 Oktoba ya kila mwaka Tanzania uungana na nchi nyingine wanachama wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike…
TASAF HALMASHAURI YA SONGEA KUTUMIA FEDHA ZILIZOOKOLEWA KUJENGA NYUMBA YA MGANGA
Baadhi ya walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini katika kijiji cha Mpitimbi B Halmashauri ya wilaya Songea wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Neema Maghembe(hayupo pichani)wakati akitoa taarifa ya ujenzi wa nyumba ya mganga inayotarajiwa kujengwa katika Hospitali ya Halmashauri hiyo ambapo zaidi ya Sh.milioni 68 zitatumika. Afisa mtendaji wa kijiji cha Mpitimbi B Halmashauri ya wilaya Songea Naomi Julius akitoa taarifa ya utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya maskini wanaopokea ruzuku kutoka mfuko wa maendeleo ya jamii nchini Tasaf. Afisa ufuatiliaji wa mpango wa kunusuru kaya maskini mkoa wa Ruvuma Edwin Mlowe akizungumza katika hafla ya kukabidhi kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mganga wa Hospitali ya Halmashauri ya wilaya Songea itakayojengwa katika kijiji cha Mpitimbi B kutokana na fedha zilizookolewa kwenye kazi za ajira ya muda. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Songea Neema Maghembe akizungumza katika hafla hiyo, Katibu Tawala wa wilaya ya Songea Pendo Daniel akizungumza na wananchi na baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya Songea mkoani Ruvuma kabla ya kukagua eneo litakojengwa nyumba ya Mganga wa Hospitali ya Halmashauri kijiji cha Mpitimbi B. Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Songea mkoani Ruvuma Menas Komba akimuonesha Katibu Tawala wa wilaya ya Songea…
MAMLAKA ZA MAJI NCHINI ZATAKIWA KUZINGATIA MIONGOZO INAYOTOLEWA NA EWURA KUBORESHA HUDUMA
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Mhandisi Modestus Lumato akifungua mafunzo kwa watedaji wa mamlaka za majisafi na usafi wa mazingira Leo 10/10/22 jijini Dodoma Mkurugenzi…