WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA JIJINI MWANZA
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa anaetarajia kufanya ziara Mkoani Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima (kulia) akizungumza…
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa anaetarajia kufanya ziara Mkoani Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima (kulia) akizungumza…
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji – Zanzibar, Dkt, Islam Seif Salim akizungumza na viongozi wa Menejimeniti ya OSHA Pamoja na…
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akifungua kikao cha Ofisi ya Makamu wa Rais na Washirika wa Maendeleo kilichofanyika leo…
Mratibu wa Tamasha la Michezo na Utamaduni la Watoto, Bi.Akanashe Mwanga akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 13, 2022 kuelekea siku ya Tamasha…
Na. Asila Twaha, Tanga Katika Mashindano ya Michezo ya Shirikisho ya Wizara, Idara za Serikali na Mikoa( SHIMIWI) yanayoendelea Tanga katika mchezo drafti umeipa…
Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji Sivangilwa Mwangesi,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Maadili yaliyotolewa kwa Viongozi mbalimbali wa Umma yalifanyika leo Oktoba 13,2022 Jijini Dar…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo…
Mawaziri wa Wizara za Kisekta wakipata maelezo ya uvamizi wa eneo la hifadhi la mito miwili eneo la Kasekese kwa Mkuu wa Wilaya ya…
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Afya, Edward Mbaga akizungumza katika atika semina kwa wahariri na waandishi wa habari juu ya sheria ya…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanania TPA Bw. Plasduce M. Mbossa akufungua kikao kazi kati ya (TPA) na wahariri wa Vyombo vya habari…
Mkurugenzi wa Landesa Tanzania, Godfrey Massay akipekua baadhi ya taarifa za ardhi wakati wa mafunzo ya wanahabari na wadau wa ardhi yaliyofanyika mjini Morogoro…
Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Ibrahim Ngwada akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake namna ambavyo serikali kuu imetoa kiasi cha shilingi…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Wakili Msomi Amon Mpanju akizungumza katika Kilele cha Kampeni maalum ya…
Na Lucas Raphael,Tabora Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora kwa mara ya kwanza imebatilisha hati ya Mashitaka na kuwahukumu kifungo cha miezi 12…
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bagamoyo,Alhaj Abdul Sharifu ameeleza wakati Taifa likikumbuka miaka 23 ya Baba wa Taifa ,muasisi Mwalimu…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisoma maandishi ya uzinduzi wa jengo la masijala…
Afisa elimu wa Mkoa wa Pwani Sara Mlaki akizungumza na washiriki wa warsha hiyo hawapo pichani iliyofanyika Wilayani Kibaha. Baadhi ya washiriki waliohudhulia katika…
Mganga mkuu wa mkoa, Dk.Silvia Mamkwe akizungumzia tahadhari za awali walizochukua katika kuweka utayari wa kukabiliana na ugonjwa wa Ebola . …………………………….. Julieth Laizer…
Mkurugenzi Msaidizi wa Usalama Mtandao wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Steven Wangwe akiwasilisha mada ya kuwajengea uelewa juu ya…
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas kulia, akimpa maelekezo mkandarasi wa kampuni Associates LTD kuhusu kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara ya…
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (mwenye kofia), akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Anna Gidarya, kuhusu mipaka ya Daraja la Isongole…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza…
************* Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo tarehe 12 Oktoba, 2022 amezindua Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA aliyoiteua hivi…
UJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Sheria Ndogo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, ukiongozwa na mwenyekiti wake, Mhe. Mihayo Juma Nunga umetembelea ofisi za…
…………………… Na Shamimu Nyaki- Goa, India Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, ameendelea kuwatia hamasa na moyo Timu ya Taifa…
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika eneo la Likong’o mkoani Lindi ambapo kutatekelezwa mradi mkubwa wa kuchakata…
Na Mwandishi Wetu,Kibaha MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametaja mambo manne ambayo Hayati Baba wa…
************************ Na. WAF – Morogoro Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua…
**************** Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesaini mkataba wa miaka mitano (5) wenye thamani ya Shilingi za Kitanzania Milioni Mia…
******************* Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetoa elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa baadhi ya wanafunzi wa shule…
Naibu Meya wa Jiji la Tanga Mwanaidi Kombo akizungumza wakati wa siku ya kilele cha mtoto wa kike duniani iliyofanyika kwenye viwanja vya Urithi…
Kaimu Meneja wa Ukaguzi na Usimamizi wa Sheria TBS, Bw.Moses Mbambe akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 12,2022 Jijini Dar es Salaam Afisa…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Angellah Kairuki akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa DART Dkt. Edwin…