WAWEZESHENI WANAWAKE WAJIUNGE KWENYE JUKWAA LA KUWAINUA WANAWAKE KIUCHUMI
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt.Doroth Gwajima ameziagiza Halmashauri zote nchini zihakikishe zinawawezesha wanawake kujiunga na jukwaa la kuwainua…