WANAFUNZI WAWILI SHULE SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA WATEULIKWA KULIWAKILISHA TAIFA KATIKA KONGAMANO LA DUNIA
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Festo Mgina (kulia) akiwakabidhi bendera ya Taifa jana wanafunzi wa shule ya msingi Southern Highlands…