Top Stories
View all
PSSSF Yatumia Bilioni 880 Kulipa Mafao
Sehemu ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Meneja Kiongozi , Uhusiano Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Eunice Chiume…
MAJALIWA AITISHA MKUTANO WA DHARURA WA BAADHI YA WADAU WA ZAO LA PAMBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba aliouiitisha kwenye Ukumbi wa Benki Kuu jijini…
SEKTA YA UVUVI NCHINI KUJENGA BANDARI KWA AJILI YA KUONGEZA UZALISHAJI WA SAMAKI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Sekta ya Uvuvi), Dk Rashid Tamatama,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dodoma mara…
UNESCO YATOA NENO KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI
Na.Alex Sonna,Dodoma Mwakilishi na Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) Bw.Tirso Dos Santos,amevitaka vyombo vya habari nchini…
SERIKALI YATOA UFAFANUZI BEI ZA TAULO ZA KIKE
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ……………………. Na. Peter Haule, WFM, Dodoma Serikali imesema kuwa nguvu ya soko pamoja…
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA UONGOZI WA BUNGE LA VIJANA OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Vijana 2018/2019, Ndg. Zephania Sane pale uongozi wa Bunge hilo ulipomtembelea…
RAIS DKT.MAGUFULI WA TANZANIA NA MWENYEJI WAKE RAIS MNANGAGWA WA ZIMBABWE WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI IKULU JIJINI HARARE NCHINI ZIMBABWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa walipokuwa wakizungumza na waandishi wa…
Menejementi ya Wizara ya Habari Yaaswa Kuendelea Kuzingatia Sheria za Manunuzi
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Petro Lyatuu amewataka Wakuu wa Idara na Vitengo kusimamia vyema Sheria ya Manunuzi…
MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AJUMUIKA NA WATOTO YATIMA WA MAZIZINI ZANZIBAR KATIKA FUTARI ALIYOWAANDALIA
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuka na Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar katika Futari Maalum aliyowaandalia jana 28-5-2019,…
MAHAKAMA YA WILAYA YA KISARAWE YAJINASUA KESI YA MGOGORO WA ARDHI WA WIZARA YA MALIASILI NA RWEHUMBIZA
NA MWAMVUA MWINYI,KISARAWE MAHAKAMA ya wilaya ya Kisarawe,mkoani Pwani imejinasua kwenye kesi ya katibu wa kamati ya wakulima wa kijiji cha Chanika Jackson Rwehumbiza pamoja…
MUFTI WA TANZANIA ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA KIBADA GARDENS KIGAMBONI,ATOA NENO KWA WAGENI WAALIKWA
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally na Mh. Ali Davutoglu, Balozi wa Uturuki nchini Tanzania pamoja na baadhi ya wageni wakibadilishana…
RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MAKABURI YA MASHUJAA WA ZIMBABWE KATIKA ENEO LA NATIONAL HEROES ACRE WEST WING HARARE NCHINI HUMO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wa Taifa…
Jafo akabidhi Bil 1.7 Ruzuku kwa Vijana toka USAID
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo kikabidhi hundi ya mfano kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya…
BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA BIDHAA MPYA YA AKAUNTI YA MUDA MAALUM INAYOJULIKANA KAMA ‘DCB LAMBA KWANZA’
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Biashara ya DCB , James Ngaluko (wa tatu kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi…
MAJALIWA AWAFUTURISHA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge , Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya…
VIONGOZI NA WATUMISHI WA WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUWA WAADILIFU KATIKA UTENDAJI KAZI WAO ILI TANZANIA IWEZE KUFIKIA UCHUMI WA KATI IFIKAPO MWAKA 2025
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akifungua mafunzo ya viongozi wa Wizara…
Serikali inatambua Mchango wa Machifu katika Kulinda Mila na Desturi za Nchi.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza(kulia) akizungumza na Machifu kutoka Mkoa wa Singida na Mara Wilaya ya Rorya ambao walimtembelea…
TCCIA WAMALIZANA NA BEST-DIALOGUE
***************************************** Shirika la Best-Dialogue ambalo limekuwa likifanya kazi na taasisi mbalimbali hapa nchini ambapo moja ya taasisi ambayo imekuwa ikifanya nalo kazi kwa…
RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBWABWE MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ROBERTH MUGABE PAMOJA NA DHIFA YA KITAIFA ILIYOFANYIKA IKULU JIJINI HARARE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa alipokuwa akisalimiana…
KAGERA SUGAR YASHUKA DARAJA, STAND UNITED NA MWADUI FC KUCHEZA ‘PLAY OFF’
Na Mwandishi Wetu, MWANZA TIMU ya Kagera Sugar ya Bukoba imeipa mkono wa kwaheri Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kulazimishwa sare ya…
RC NDIKILO AMPA WIKI MOJA DED BUTAMO KUYAFANYIA KAZI MADOKEZO NA KUSHIRIKIANA NA WATENDAJI
NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo amempa wiki moja mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha ,kushughulikia madokezo…
TANZANIA NA NAMIBIA ZATILIANA SAINI TAMKO LA PAMOJA LA MASHIRIKIANO KATIKA MASUALA MBALIMBALI
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah Naibu waziri Mkuu…
ZAHERA ASHANGAZWA NA TAARIFA ZA AJIBU
Kocha wa klabu ya young Africa (Yanga) Mwinyi Zahera ameshangazwa na taarifa zinazosambaa juu ya aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo Ajibu Migomba kukwama kujiunga…
AZAM FC YAMALIZA LIGI KUU KWA KUICHAPA 2-0 YANGA
Na Mwandishi Wetu. TIMU ya Azam FC imemaliza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya vigogo, Yanga…
SIMBA YAKABIDHIWA UBINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BAADA YA SARE NA MTIBWA SUGAR MJINI MOROGORO
Na Mwandishi Wetu. MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba SC wamekabidhiwa Kombe lao baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Mtibwa Sugar…
NACTE YASITISHA UDAHILI KOZI YA HUDUMU YA AFYA NGAZI YA JAMII ( COMMUNITY HEALTH) KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020
Mkurugenzi wa uzingativu, ufuatiliaji na tathmini wa (NACTE) Jofrey Oleke akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuanza udahili mpya kwa wanafunzi, katika maonyesho…
RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI NCHINI ZIMBABWE NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ROBERT MUGABE NCHINI ZIMBABWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa mara baada ya kuwasili…
Serikali ya Poland Yaonyesha Nia ya kuisaidia Sekta ya Afya Nchini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akiwasilikiza wadau wa Sekta ya Afya kutoka nchini…
JIJI LA DODOMA LAITIKIA KWA VITENDO KATAZO LA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI
Afisa Mazingira wa Jiji la Dodoma Ally Mfinanga akizungumza na wananchi pamoja na wanafunzi wa Jamhuri Sekondari baada ya zoezi la ukusanyaji wa mifuko …
WAZIRI UMMY AIPA KIPAUMBELE HEDHI SALAMA
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Biashara kutoka Shirika la AFRIpads Bi.…
GURU PLANET YATOA MAFUNZO YA MIFUKO MBADALA KWA WAJASILIAMALI
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam IKIWA zimebaki siku nne za katazo la serikali la kutokomeza mifuko ya platiki (rambo) vikundi mbalimbali vya ujasiriamali…
LSF kutanua wigo wa huduma za msaada wa kisheria Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Shirika la Legal Services Facility (LSF), Lulu Ng’wanakilala, akiongea na wadau wa sekta ya huduma wa msaada wa kisheria jijini…
TAFFA NA WMA WATIFUANA MPAKANI NAMANGA
************************************** Na Ahmed Mahmoud Arusha Chama cha mawakala wa forodha( TAFFA) Mpakani Namanga,wilayani Longido, wamemwomba Waziri mkuu, Kassimu Majaliwa kuingilia kati mgogoro kati yao…