WAZIRI DKT MABULA AMKABIDHI TUZO RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi tuzo ya heshima Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete mkoani Arusha mwishoni mwa…
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi tuzo ya heshima Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete mkoani Arusha mwishoni mwa…
Na Mapuli Misalaba, Shinyanga Mratibu wa Kampeni ya Uhamasishaji wa kuchangia damu kwa hiari Amos John maarufu MC MZUNGU MWEUSI amewashukuru wananchi walioshiriki…
NA MWANDISHI WETU, SABASABA WAJASIRIAMALI wadogo na wa Kati wanayo nafasi kubwa ya kujenga maisha yao ya sasa na ya baadaye kwa kujiunga na…
************************ Na Mwandishi Wetu KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa…
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Dkt.Sigisbert Mmasi akiwaelezea namna vitanda walivyovitengeneza kwaajili ya kutumika hospitali baadhi ya wananchi waliotembelea banda la TEMDO…
Katibu Mkuu Maliasili na Utalii , Profesa Emanuel Sedoyeka akikata utepe pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP…
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema Serikali iko katika hatua za mwisho kuanza uzalishaji katika Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira- Kabulo…
Mtafiti wa Shirika la Utafiti na Maendelea ya Viwanda (TIRDO) Bi.Jacqueline Mwandwa akimuelezea jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Jumanne Sajini (Mb.)…
Mkurugenzi wa usimamizi wa maadili kutoka Ofisi ya Rais Menejmenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bora bi. Leila Mavika akizungumza wakati akihitimisha fainali…
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe Dkt.Ashatu Kijaji akipitia baadhi ya machapisho yaliyopo kwenye banda la Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara mara…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Tamasha la Kwanza la Kitaifa la Utamaduni kwenye Uwanaja wa Uhuru, Temeke mkoani Dar es salaam, Wasanii…
Waziri Maliasili na Utalii Mhe Balozi Dkt Pindi Chana akimukabidhi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Queen Sendiga chapisho la Mfumo wa kushughulikia malalamiko…
Kaimu Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, DCF Charo Mangare akisoma taarifa yake, kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la…
Na John Walter-Babati Vijana wametakiwa kuchangamkia fursa ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama cha Mapinduzi katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anayesimamia Sekta ya Ujenzi Balozi Aisha Amour amewataka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kuhakikisha mikataba inayotolewa…
************************ JIJI la Hamburg nchini Ujerumani na Dar es Salaam wamesaini mkataba wa mashirikiano katika maeneo matano ikiwemo sekta ya elimu, afya, ujasiriamali na…
NA KHALFAN SAID, SABASABA KATIKA kuhakikisha Wastaafu wanapata huduma kwa haraka na kwa urahisi zaidi, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma…
Na Mwandishi wetu, Babati Mwenyekiti mstaafu wa Halmashauri ya Mji wa Babati Mkoani Manyara, kwa mwaka 2010 hadi 2015 Mohamed Farah maarufu kama Mwanamaombi…
KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho maarufu ‘Azam Sports Federation Cup’ (ASFC) baada ya kuichapa Coastal Union mabao…
Rais wa Skauti Tanzania na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda ,akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama…
Muonekano wa sehemu ya kunyolea nywele ndani ya Big 5 Barbershop & Sauna Spika wa Bunge Mstaafu Mhe. Anne Makinda akiangalia…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam kuhitimisha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo mbali mbali…
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mfuko wa Wanayapori Afrika yaliyoambatana…
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda (kushoto) akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga alipowasili kushiriki…
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara yake katika Kiwanda cha Bidhaa za…
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu cha Mzumbe Rose Joseph (kulia) akifafanua jambo kwa mgeni aliyefika kwenye Banda la Chuo hicho…
Na Mwamvua Mwinyi Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Ridhiwani Kikwete amewaasa maafisa ardhi kutimiza wajibu katika utendaji wao kazi .…
…………………… Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge, amepokea na kukabidhi mitambo ya kusafisha Maji chumvi(Solar Desalination System) ,zenye thamani…
………………….. Dar es salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Amos Makalla awapongeza COSTECH kwa kuendelea kuratibu tafiti na bunifu zenye tija…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju akizungumza na Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dkt.Joyce Nyoni…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungana na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akimsikilliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Kongani ya Viwanda Kibaha ya …
Deus Magala Mkurugezi Rasilimali Watu shirika la Madini Tanzania STAMICO akizungumza na baadhi ya watu waliofika kwenye banda la hilo katika maonesho ya 46…
Waziri wa Utamaduni,Sanaa,na Michezo Mhe Mohamed Mchengerwa akizungumza na waandishi wa habari akitoa ufafanuzi juu matukio ya siku 7 yatakayofanyika katika Tamasha la kwanza la…