RAIS SAMIA KUFUNGUA KIKAO KAZI CHA POLISI
NA.Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Tanzania lingependa kuwajulisha kuwa katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoa wa…
NA.Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Tanzania lingependa kuwajulisha kuwa katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoa wa…
********************** NJOMBE Halmshauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imeripotiwa kutekeleza zoezi la sensa ya watu na makazi kwa zaidi ya asilimia 90 hadi…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akizungumza wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu…
Imeelezwa kuwa, taarifa zinazoandikwa kuhusu changamoto zinazowakabili watoto, zinaripotiwa kwa kiwango cha chini. Na kwamba, taarifa nyingi zinazowahusu watoto kwenye vyombo vya habari, huwa…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akifuatilia Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa…
Mchezaji wa Mapinduzi FC akiwa amebeba kikombe mara baada ya kuibuka washindi wa mashindano ya utalii cup Wachezaji wa Mapinduzi FC wakiwa kwenye picha…
*********************** Na Mwandishi wetu, Arusha MKUU wa mkoa wa Arusha, John Mongella amezindua mradi wa uhifadhi wa mazingira kwa kutumia maarifa ya asili ambao …
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Omary Mgumba (katikati) kwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema…
Mhifadhi Mkuu shamba la Wino Glory Kasmir kushoto akiwa na aliyekuwa mfanyakazi wa shamba hilo Theofrida Luoga wakati wa sherehe ya kumuaga iliyofanyika jana …
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida kwa njia ya mitandao kwenye ukumbi wa Palais des Congres, jijini Tunis, Tunisia Agosti 27,…
*********************** Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Leo Agosti 27,2022 kimekutana na Wafanyabiashara wa Marekani ambao ni jamii ya watu wa China kwenye kongamano kubwa…
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mbunge) amezindua rasmi mradi wa urejeshaji Mto Nduruma kwenye mkondo wake ili kunusuru makazi 730 yaliyokuwa yakiathiriwa na mafuriko…
MWENENDO wa mchakato wa Mapendekezo ya Mabadiliko ya Sheria ya Habari, umewatia matumaini ya kufanikiwa. Nevile Meena, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Jukwaa…
Na Alex Sonna-DAR ES SALAAM TIMU ya Simba Queens wametwa ubingwa wa Michuano ya CECAFA Women 2022 na kufuzu moja kwa moja Ligi ya…
*********************** Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Agosti 27, 2022 ameendesha Kikao kazi cha Wakuu wa Vyuo vya Wizara…
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza katika kijiji cha Kitanda Wilaya ya Mbinga baada ya kukagua mwenendo wa sensa Kushoto Mkuu…
Na.Abel Paul wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Kamishina wa operesheni na mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP AWADHI HAJI amewataka askari…
Mkurugenzi wa Shirika la Action for women Organization (AWO),Catherine Mongella akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Mmoja wa wataalamu akitoa mafunzo kwa wanawake…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 na…
Aliyekuwa Mwenyekiti akina mama wa ACT-Wazalendo Jimbo la Kojani Pemba, akizungumza mara baada ya kujiunga na CCM katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa akifuatilia Mkutano wa Nane wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa kuhusu Maendeleo ya Japan na Afrika (TICAD…
Na Mwandishi wetu, Mirerani MCHIMBAJI wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Anselim Kawishe ametangazwa kuwa bilionea mpya…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Tunisia Mhe. Najla Bouden alipowasili…
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa WAJIBU Institute of Public Accountability, Ndg. Ludovick Utouh kabla ya kufungua…
Mhifadhi Mkuu wa Shamba la Miti Buhindi, Mussa Tinda akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (kushoto) kuhusu eneo…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizo…
Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa Mzee William…
Na WAF- MWANZA WIZARA ya Afya kupitia Idara ya tiba imetoa mafunzo ya kuboresha utoaji huduma kwa Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za…
Kiongozi mashuhuri duniani wa kiroho na Balozi wa Amani, Gurudev Sri Sri Ravishankar ameondoka nchini leo asubuhi kuelekea Ujerumani baada ya kukamilisha “Royal Tour”…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akianzisha Mbio fupi za kilomita 10 pamoja na matembezi ya…
Na. WAF- DODOMA Wadau wamaendeleo nchini wametakiwa kufanyakazi kwa kuwagusa wananchi ili kuleta ufanisi wanapo tekeleza majukumu yao ili kufikia malengo. Wito huo…
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dk.Selemani Jafo, akizungumza na wataalamu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili Tunisia leo (Ijumaa Agosti 26, 2022) na kupokelewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. Najla Bouden Romdhane katika…
************************** Na. Waf. Morogoro Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Urio Kusirye amewahimiza waganga wa Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kuzisajili dawa…