ACT – WAZALENDO YAISHAURI SERIKALI KUHUSU BIMA YA AFYA YA TAIFA
Chama cha Act Wazalendo kimeiomba serikali, kuhakikisha kila Mtanzania anakua kwenye mfumo wa hifadhi ya jamii ili kuwawezesha Watanzania wote kupata bima ya afya…
Chama cha Act Wazalendo kimeiomba serikali, kuhakikisha kila Mtanzania anakua kwenye mfumo wa hifadhi ya jamii ili kuwawezesha Watanzania wote kupata bima ya afya…
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt Albina Chuwa, akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 31,2022 jijini Dodoma kuhusu Maendeleo ya Sensa ya Watu na…
Kaimu Mkuu wa Habari na Mawasiliano, Bw. Vicent Mnyanyika (wa pili kushoto) kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Uendeshaji kutoka EFM na TVE,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika tarehe 31 Agosti, 2022 Ikulu Chamwino…
Na John Walter-Manyara Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani wa Jeshi la polisi Mkoa wa Manyara Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SP Georgina Richard Matagi…
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza kwenye Kikao cha kamati ya afya Wilaya ya Shinyanga kuhusu Kampeni ya Chanjo ya Polio awamu…
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameihakikishia Nchi ya Korea Kusini kuhusu uwepo wa fursa nyingi za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Dkt.…
Na. WAF-Dom Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa Wataalamu wa afya wote nchini kutimiza wajibu wao katika maeneo yao…
Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati Wizara ilipowasilisha kwa Kamati hiyo,…
******************* Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) wamepongeza uwekezaji mkubwa kwenye tasnia ya Maziwa Nchini uliofanywa na kiwanda cha…
********************* Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa za aina mbalimbali zenye viambato sumu ambazo hazikidhi matakwa ya viwango za uzito wa tani tisa…
Meneja wa Benki ya NBC tawi la Shinyanga Joyce Chagonja akizungumza wakati wa Kongamano la Vijana wa Wasalesia wa Don Bosco (Salesian Youth Movement –…
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Adam Fimbo akionesha orodha ya Kemikali sumu zinazopatikana katika Bidhaa za Tumbaku alipokuwa akiongea…
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki,akizungumza wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ununuzi wa boti za Uvuvi…
Mawakala wa ajira katika sekta binafsi nchini Tanzania wamekutana na kujadili fursa za ajira na Mawakala wenzao wa ajira binafsi wa Qatar, Jijini Doha…
*********************** Na Englibert Kayombo WAF – Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kuanza Kampeni ya Awamu ya tatu ya kutoa matone ya chanjo…
Naibu Waziri wa Afya Dr.Godwin Mollel akizungumza na Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano Bohari Kuu ya Dawa MSD Bi. Etty Kusiluka wakati alipotembelea Katika…
…………………. NA MUSSA KHALID Nyumba moja iliyopo Mtaa wa Msewe Kata ya Ubungo Manispaa ya Ubungo jijini Dar es salaam imeteketea kwa moto asubuhi…
………………….. Na Sixmund J. Begashe wa MNRT Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge ya…
************************ Na Englibert Kayombo – WAF, Bungeni – Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kuboresha hali…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation na …
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Mhe. Douglas Foo,…
************************* NA.Catherine Sungura – DAR ES SALAAM Watu walioathiriwa na ugonjwa wa vikope {trakoma} wamehimizwa wasijifiche na kusalia majumbani, wakiogopa kujitokeza kufuata matibabu katika…
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wakili Amon Mpanju, akizungumza na Wadau mbalimbali wa Mashirika Yasiyo ya…
Mkuu wa Mauzo wa kanda ya Dar es salaam na Pwani Vodacom Tanzania PLC, Brigita Shirima (kulia) akimkabidhi funguo mshindi wa Bajaj wa promosheni…
**************************** Na Lucas Raphael,Tabora. Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawalisiano Tanzania (TCRA),Dkt Jabir Bakari amesema kwamba Sensa ya mwaka huu itaonesha shughuli za biashara…
********************** Na Lucas Raphael,Tabora Mkoa wa Tabora unaongoza mikoa ya kanda ya kati kwa Tanzania Bara kwa uwiano mkubwa kati ya wakazi wa…
*********************** Na Lucas Raphael Tabora Shahidi wa kwanza katika shauri la Madai linalomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Kitwala Komanya ameiambia Mahakama kuwa anadai…
Naibu Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Juma Mkomi akizungmza na Wahifadhi wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wenyeviti wa Sekretarieti na Maafisa wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifungua Kikao Kazi Cha Maafisa Wakuu Waandamizi…
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, akisisitiza jambo wakati alipokutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu jijini Dodoma. Mwenyekiti wa…
Afisa Mwandamizi wa Mahusiano ya Jamii kutoka GGML, Shunashu Musa (kulia) akimkabidhi magodoro 50 msimamizi wa Kituo cha Wazee Bukumbi, Jonas Tarimo. Anayetazama ni…
Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa na wawekezaji kutoka nchini Misiri ambao wanatarajia kuwekeza katika kilimo kwenye zao la…
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Hassan Babu akikata utepe kuashiria kuizindua rasmi mashine ya kubadilishia fedha za kigeni kwenda Shilingi za Kitanzania (FX…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Djibout Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa…